Wanaume wafupi tunateswa

SPACE CADET

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2022
Posts
2,278
Reaction score
3,565
Ashakum si matusi [emoji24] visa vyangu


1.)Wanangu leo nilikuwa natoka chuo
Jioni ya saa 11 nikapishana na demu pisi kweli nikamfuata kumwomba namba alichonijibu " sipendi viadunge we mdogo kama maharage ya mbeya" akanisonya [emoji24][emoji24][emoji24] nikaishia

2.) 2019 after 4 kwenye daladala kuna pisi nzuri ilijongea tulikuwa 2 tu naichombeza kidogo tu kuomba namba mara "we na ufupi wako utanipeleka wapi".

3.) 2020 karibu na kwetu kuna dada kafungua duka la mambo ya kike sasa kuna siku alitoka njee kununua ndizi kulikuwa na duka la vitu vya sokoni kwa pembeni alikuwa na ****** balaaaa nikasema ngoja nimchomboze kwanza naongea nae ananipandisha na kunishusha tu na kunijibu kimikatokato kuomba namba hola eti sina simu jina kumuuliza oooh naitwa Juma daaah asee [emoji24][emoji24][emoji24] iliniuma sana

Sasa nimeapa ninakuja kulipiza kisasi kwa hawa wanawake wote wanaonikataaa kisa ufupi wangu nyie ngojeeeni nipate [emoji383] mtaona cha moto nitakuwa kama mondi ndugu Carlos The Jackal nipo kwenye operesheni maalumu mkuuu nimetendwa sana kisa kimo changu na mfuko wangu ntaanza kufuata nyayo zako mda si mrefu mkuu

#siwasilishi#
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji34] moja ya pisi ntakayoanza nayo ni hiii hapa
 
Mimi nina urefu wa futi tano points 9 halafu huoni aibu kunitongoza? Hata ile kunikaribia tu, ni kujidhalilisha
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…