Wagumu Tunadumu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 7,591
- 23,270
Hahahah haya endeleeeji kujifungulizePole sana
Msamehe tu
Tunapendaga kwa mafungu mafungu
Pale tutapenda kalio,hapa tutapenda rangi,kule tutapenda kiuno,sauti,maujanja
Usaliti sio poa dia exactly tunakuww tunawapenda wasio fungu letuMy dear, heri wewe
Kila mtu akisema yake utaona heri wewe
Kwanza mshukuru Mungu kukufunulia hayo songa mbele
WAnaume ni wazuri na Wanawake ni wazuri pia
Ubaya ni USALiti ni
Hakuna mapenzi ya mvua sio fungu languUsikute hyo jmaa amempa tu dada wa watu ..avae labda aliloa n hizi mvua calm down...
Pole sana, wanaume wanaharibiwa na wanawake.Hellow lovers
Wanaume wabaya sana sana vuta picha mtu unampenda sana unaenda kumtembelea una mkuta na mwanamke amevaa khanga yako na tishet yako ambayo ulimpelekea mpenzi kama zawadi
U guys a wired.... uwa mnaanza kuacha vinguo kimoja kimoja mjengoni kabla ya maridhiano kuwa ww ndio Mama mjengo....ss hayo ndio malipo yake.Kakwambia kwa vitendo....btw pole sana....kweli Wanaume huruma hatuna
Hahahaha exactly atleast zitapoza moyoMakuubwa haya jaman wanaume jaman mimi now pesa mbele tu kupenda mwishoni
Hahah raha wanapata sanaa sema ndo hvyo hawalizikiWanakwambia,"Mwanaume bila mchepuko ni kama nchi bila rais'"
Pole, wa kwako anakuja
Kwako dia ☺️Mbona Mambo Ya Kawaida Kabisa