Yupo anayegharamiwa, wewe ni fursa. Tunasaidiwa na wapenzi, lakini sio kwa namna ya huyu bwana wako.Habari zenu wana jukwaa, hivi inakuaje mwanaume anakua tegemezi?? Nna huyu boyfriend naona sasa amezidi, ukweli ni kwamba Mimi nna hela na sioni shida kumpa chochote ila tunakoelekea naona anaona dezo sana...mfano: Mimi nilisafiri kikazi morogoro akaja for a visit weekend huwezi amini alikuja na nauli ya kujia tu, kukaa na outing zote alinitegemea Mimi hadi nauli ya kurudia, niliboreka kwakweli...baada ya kurudi Dar nikakuta gari yake mbovu ametumia kama 1million kutengeneza na sikumsaidia Kwa chochote akaanza kunigombeza eti ametumia ela nyingi hata simjali financially ametetereka Mimi nipo tu..na wakati ananihombeza ivo akanipora pochi akachukua elfu 50 akaemda kunywa bia bar...the other time tukatoka outing akasema hana hela nikampa laki na nusu azishike yeye tukatoka tukakaa kama 1hr then tukaondoka tulitumia kama elfu 30 tu...huwezi amino aikurudishiwa chenji...nikimdai anazingua, ivi mwanaume unakuaje hivi tho shoo moja moja anasimamia ila anavo demand mmmh...so sawa
Kwa bed hana lolote hajui kabisaaaaNingekupata mimi nahisi ungefaid angalau ningekuwa nachangia robo tatu yote pindi tukitoka out nawewe unachangia robo inayobak, ila yawezekana akawa anakukuna vzr kunako bed
Kama ni hivo unaendelea kumhifadhi wa nn,,,,,? Cha kufanya Waite wa kwao umkabidhi kwa ndugu zake kuliko kuendelea kuanikana humu,,,,,,!Kwa bed hana lolote hajui kabisaaaa
We ndo hujui kitu....Kwa bed hana lolote hajui kabisaaaa
Duuuuh poleee sana wanaume suruali mbona wapo kibao sana dada anguHabari zenu wana jukwaa, hivi inakuaje mwanaume anakua tegemezi?? Nna huyu boyfriend naona sasa amezidi, ukweli ni kwamba Mimi nna hela na sioni shida kumpa chochote ila tunakoelekea naona anaona dezo sana...mfano: Mimi nilisafiri kikazi morogoro akaja for a visit weekend huwezi amini alikuja na nauli ya kujia tu, kukaa na outing zote alinitegemea Mimi hadi nauli ya kurudia, niliboreka kwakweli...baada ya kurudi Dar nikakuta gari yake mbovu ametumia kama 1million kutengeneza na sikumsaidia Kwa chochote akaanza kunigombeza eti ametumia ela nyingi hata simjali financially ametetereka Mimi nipo tu..na wakati ananihombeza ivo akanipora pochi akachukua elfu 50 akaemda kunywa bia bar...the other time tukatoka outing akasema hana hela nikampa laki na nusu azishike yeye tukatoka tukakaa kama 1hr then tukaondoka tulitumia kama elfu 30 tu...huwezi amino aikurudishiwa chenji...nikimdai anazingua, ivi mwanaume unakuaje hivi tho shoo moja moja anasimamia ila anavo demand mmmh...so sawa
Mh sasa nn hasa kinachokufanya uteseke hivyo haliyakuwa hata kwa bed hajiwez au anajina mjini anakuuzisha sura?Kwa bed hana lolote hajui kabisaaaa