wanaume wa mwanza na Selfie

Lol!! Haya ndio matokea ya "Beibe, uko home kweli? Naomba upige selfie unitumie"
 
Hapana ubishi kavaa chupi ya mke wake hakuna shida ila atapata shida siku mke wake akiwa na bikini itamsumbua sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…