Africa Tanzania
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 1,503
- 2,277
chips kama izo unakulaje na stick?Sie tukiamua kula chips tunaweza firisi!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 866927
Hapo kaanzaga mdogo mdogo, ameshaagiza maji ya kunawa mkuuchips kama izo unakulaje na stick?
utamaliza saa ngap msahani kama huo kwa stick?
sio mwanaume wa mkoani huyo!
Duh!!! agiza nalipiaMate yamenijia, chips kavu za motoooo na kachumbari uuuhhh.
Ahsante kwa uzoefu mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ukitoka hapo jiandae kujamba sana mkuu maana viazi na gesi mahala pake
Wanaume wa mikoani tunatumiaga mikono huyo ni mwanaume wa DarSie tukiamua kula chips tunaweza firisi!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 866927
hahahaaa!!! kaagiza maji ya kunawa mkuu....hapo kaanzaga mdogo mdogoWanaume wa mikoani tunatumiaga mikono huyo ni mwanaume wa Dar
Duh!!! agiza nalipia
Acheni urohoWanaume wa mikoani tunatumiaga mikono huyo ni mwanaume wa Dar
Yea ni kweli ni kwa sababu hatuli junk food.Huo ni msosi wa wanaume wa dar 20 na wanabakiza