Wanaume wa kihaya......

Nahisi ushauri wa kuombwa ulipaswa kuwa ni jinsi gani unaweza kuepuka uharibifu wa ndoa za watu na tamaa. Ni dhahiri umekaa kimaslahi zaidi. Uko radhi kuweka rehani utu wako sababu ya mali. Umeua viumbe visivyokuwa na hatia kwa kutoa mimba kwa vile umejiwekea kuwa uzazi wako ni mtaji wa kuvunia mali. Hapa si wahaya tu, kabila lolote utakalolipata mzunguko wa maisha yako utakuwa ni ule ule kuahidiwa mali, kulalwa then kuachwa kwenye mataa.
Jaribu kutuliza nafsi yako na upende kidhati pasi kuangalia ahadi unazopewa. Nina yakini kuna uwezekano ukaja kupata furaha ya kweli. Kumbuka mtoto si mtaji wa kuvuna matakwa yako, kesho akiwa mtu mzima atahitaji kujua kwanini haupo na baba yake na sidhani kama viwanja na nyumba vitakuwa ni faraja kwake. Jiulize kwanini wote hawatangazi ndoa bali wanataka kuzaa na wewe tu, Hapo moja kwa moja ujue kuna dosari kwako.
 
Mwanaume wako wa kwanza umemkatili sana ubaya haulipwi kwa ubaya
 
Ndege wafanano huruka pamoja ila chunga sana uo umalaya muda ni yuda na ukikusaliti utavuta maunga.
 
Ningeweka neno hapa ila nakutakia Uzao mwema na pia umpate mume wako ukae utulie.
Hayo mengine mtatafuta pamoja.
 
1. Kati ya hao watatu ni yupi alimsababisha kulowanisha godoro zaidi kuliko wengine?

2. Niunganishe naye mimi nimchukuwe tuyajenge. Nina mtoto mmoja wa kiume mwenye umri wa miaka 6.
 
Muhaya wanne nakuja ......me hata sielewi unatuchukia nin akati tunasifika kwa kujali....uyo wa kwanza hakuwa na hela ndio maana ila sis wanawake tukiwa nao kwa mahusiano tunawajali sana na tunajua kutafuta
 
1. Kati ya hao watatu ni yupi alimsababisha kulowanisha godoro zaidi kuliko wengine?

2. Niunganishe naye mimi nimchukuwe tuyajenge. Nina mtoto mmoja wa kiume mwenye umri wa miaka 6.
Oina amaizi, nakwenda kaisiki! Nyegera
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…