Sema kwanza, isije ikawa ndio wewe.Kwani siku hizi mwanaume anasifiwa nyonga?
Mbona kama namjua jamaniBrand ya id yakeee
Maarufu
Ana comment za akili kubwaaa
Yan ana madin kwenye thread
Anachoandika hakifanani na mwili wakee kabisa
Ahahahhahaahah nimemshajuuuua huwezi amini nakojooooaaa
Mme wangu akiona hapa jaman napewa talakaaaaSawa Ni Pm tuyajenge.
Huyu kaka ashanichosha mimi, navunja undugu. Bora tu awe kaka jirani.Mtu na kakake, nimewashindwa tabia!
Achana nae njoo.Mme wangu akiona hapa jaman napewa talakaaaa
Kama kawaida yakoam speechless!
Yan dada acha kabisaaa mambo ya mitandaoni ni kama unachezaaa tatu mzukaaa maraaaa paaap unakutana na baba yakooo
Ni mieSema kwanza, isije ikawa ndio wewe.
Itakuwa maana mm Demiss napenda mtu awe na body kama ya Dr ulimwengu ndo huwa napendaaa sasa mtu mkavuuuuu mm wa kazi ganiii kumbeee picha alikuwa anaedit na filter anajifanya mnene kumbe weeeeh yerewiiiiii ngastukaaa mkavu kama anakunywaa gongo mashavu sasa mama ukijaa hapa kwenye shingo kuna mashimboo ndooo lita 5 ya maji inaingiaaaaMbona kama namjua jamani
Huh!! Hivi sio yuleeeeeAhahahhahaahah nimemshajuuuua huwezi amini nakojooooaaa
Ndiooo kembamba keusi kakavuuu balaaa hafanan na id yakeeeee
Yes ni yeyeeeHuh!! Hivi sio yuleeeee
Oooh!! Nakulisha makande hadi kiongezeke.Ni mie
Demiss kichaa
Hurumia mbavu zangu jamani.
Hahaa Sawa ngoja nitakupata kwa njia nyingineKanifungaaa radaaa mkuuu
AhahahahahahahahahahahahahajItakuwa maana mm Demiss napenda mtu awe na body kama ya Dr ulimwengu ndo huwa napendaaa sasa mtu mkavuuuuu mm wa kazi ganiii kumbeee picha alikuwa anaedit na filter anajifanya mnene kumbe weeeeh yerewiiiiii ngastukaaa mkavu kama anakunywaa gongo mashavu sasa mama ukijaa hapa kwenye shingo kuna mashimboo ndooo lita 5 ya maji inaingiaaaa
Itakuwa maana mm Demiss napenda mtu awe na body kama ya Dr ulimwengu ndo huwa napendaaa sasa mtu mkavuuuuu mm wa kazi ganiii kumbeee picha alikuwa anaedit na filter anajifanya mnene kumbe weeeeh yerewiiiiii ngastukaaa mkavu kama anakunywaa gongo mashavu sasa mama ukijaa hapa kwenye shingo kuna mashimboo ndooo lita 5 ya maji inaingiaaaa