Na wewe kama unajua ni huyo jamaa ni mume wa mtu ya nini kumpigiapigia simu mkomeupo kwenye pati alone anakuja mkaka anakuomba kampani anadai yuko single tena lonely sana wisho wa siku mnapeana number kesho yake anakupigia mchana inafika siku umetoka kwenye mahangaiko ni usiku saa tatu unasema ngoja nipimpigie yule kaka hata nirefresh mind loooh halooo ... halooo...sikuskii kesho uje ofsini. khaa asbui anapiga unauchuna unapiga tena usiku inazimwa kabisa..... kwani shida ni nini? au ushamba?kama una ndoa si utulie na ndoa jamani? khaaa.
kasema yupo single eti?
upo kwenye pati alone anakuja mkaka anakuomba kampani anadai yuko single tena lonely sana wisho wa siku mnapeana number kesho yake anakupigia mchana inafika siku umetoka kwenye mahangaiko ni usiku saa tatu unasema ngoja nipimpigie yule kaka hata nirefresh mind loooh halooo ... halooo...sikuskii kesho uje ofsini. khaa asbui anapiga unauchuna unapiga tena usiku inazimwa kabisa..... kwani shida ni nini? au ushamba?kama una ndoa si utulie na ndoa jamani? khaaa.
kasema yupo single eti?
Kasema eheeeeekasema yupo single eti?
hahahaha pole bibie! mwenzio alibip we ukaamua kupiga kabisa lolupo kwenye pati alone anakuja mkaka anakuomba kampani anadai yuko single tena lonely sana wisho wa siku mnapeana number kesho yake anakupigia mchana inafika siku umetoka kwenye mahangaiko ni usiku saa tatu unasema ngoja nipimpigie yule kaka hata nirefresh mind loooh halooo ... halooo...sikuskii kesho uje ofsini. khaa asbui anapiga unauchuna unapiga tena usiku inazimwa kabisa..... kwani shida ni nini? au ushamba?kama una ndoa si utulie na ndoa jamani? khaaa.
upo kwenye pati alone anakuja mkaka anakuomba kampani anadai yuko single tena lonely sana wisho wa siku mnapeana number kesho yake anakupigia mchana inafika siku umetoka kwenye mahangaiko ni usiku saa tatu unasema ngoja nipimpigie yule kaka hata nirefresh mind loooh halooo ... halooo...sikuskii kesho uje ofsini. khaa asbui anapiga unauchuna unapiga tena usiku inazimwa kabisa..... kwani shida ni nini? au ushamba?kama una ndoa si utulie na ndoa jamani? khaaa.
Pole kwa yaliyokusibu!wengi tuu mchana mnapatikana usiku simu hazina sauti ooh simu imedumbukia kwenye maji bafuni lol