Wanaume wa .com

Smile

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
15,347
11,610
upo kwenye pati alone anakuja mkaka anakuomba kampani anadai yuko single tena lonely sana wisho wa siku mnapeana number kesho yake anakupigia mchana inafika siku umetoka kwenye mahangaiko ni usiku saa tatu unasema ngoja nipimpigie yule kaka hata nirefresh mind loooh halooo ... halooo...sikuskii kesho uje ofsini. khaa asbui anapiga unauchuna unapiga tena usiku inazimwa kabisa..... kwani shida ni nini? au ushamba?kama una ndoa si utulie na ndoa jamani? khaaa.
 
Na wewe kama unajua ni huyo jamaa ni mume wa mtu ya nini kumpigiapigia simu mkome
 
upo kwenye pati alone anakuja mkaka anakuomba kampani anadai yuko single tena lonely sana wisho wa siku mnapeana number kesho yake anakupigia mchana inafika siku umetoka kwenye mahangaiko ni usiku saa tatu unasema ngoja nipimpigie yule kaka hata nirefresh mind loooh halooo ... halooo...sikuskii kesho uje ofsini. khaa asbui anapiga unauchuna unapiga tena usiku inazimwa kabisa..... kwani shida ni nini? au ushamba?kama una ndoa si utulie na ndoa jamani? khaaa.

yaani sisi ndio viburudisho vyenu,..mkitaka ku refresh ndio mnatutafuta sio,..haya bana
 
yamekukuta bebii, pole mwaya, jaribu tena kwa mwingine, si unajua mtembea bure si sawa na mkaa bure!
 
upo kwenye pati alone anakuja mkaka anakuomba kampani anadai yuko single tena lonely sana wisho wa siku mnapeana number kesho yake anakupigia mchana inafika siku umetoka kwenye mahangaiko ni usiku saa tatu unasema ngoja nipimpigie yule kaka hata nirefresh mind loooh halooo ... halooo...sikuskii kesho uje ofsini. khaa asbui anapiga unauchuna unapiga tena usiku inazimwa kabisa..... kwani shida ni nini? au ushamba?kama una ndoa si utulie na ndoa jamani? khaaa.
hahahaha pole bibie! mwenzio alibip we ukaamua kupiga kabisa lol
 
Wewe ndio umeharibu hapo.
Ulitakiwa kusubiri awe anakutafuta,hapo ungethibitisha kuwa yupo single.
Haraka zako zimekuonesha mwenzio yupo double.
 
bebii mbona unatuogopesha? Ushakutana na wangapi wa aina hiyo?
wengi tuu mchana mnapatikana usiku simu hazina sauti ooh simu imedumbukia kwenye maji bafuni loh
 
Kweli huyo mwizi ila wengine hawapati mambo matamu kwa ndoa zao ,sasa inapelekea kutafuta kipoozeo.Ila ni vyema kuwa muwazi kuliko kuzunguka zunguka mambo
upo kwenye pati alone anakuja mkaka anakuomba kampani anadai yuko single tena lonely sana wisho wa siku mnapeana number kesho yake anakupigia mchana inafika siku umetoka kwenye mahangaiko ni usiku saa tatu unasema ngoja nipimpigie yule kaka hata nirefresh mind loooh halooo ... halooo...sikuskii kesho uje ofsini. khaa asbui anapiga unauchuna unapiga tena usiku inazimwa kabisa..... kwani shida ni nini? au ushamba?kama una ndoa si utulie na ndoa jamani? khaaa.
 
wengi tuu mchana mnapatikana usiku simu hazina sauti ooh simu imedumbukia kwenye maji bafuni lol
Pole kwa yaliyokusibu!
Lakini siyo vizuri kuwa wakwanza kuwapigia,,jitajidi kuwa special..watakutafuta wenyewe!
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom