Kuna msomi mmoja aliamua kufanya utafiti ni kwa nini wadada wanajiuza, akaenda usiku kwenye maeneo yao akijadai na yeye ni changudoa. alipofika tu akapata mteja wa kwanza aliyemlipa kiasi kikubwa cha pesa. mwisho wa siku na yeye akanogewa na uchangudoa. Mambo ya utafiti hayo.Utakuta umempenda kijana mwenzako aaa kwa mapenzi kabisa unampa gemu kwa kujua atakushusha mlima kitonga mwisho wa siku unaambulia kubakizwa na vumba tu!!! Jamani inakera sana vijana fanyeni mazoezi,mle vyakula vizuri chips yai na mikate asubuhi zinawaharibu mbona wakubwa miaka 40's na kuendelea wanatufikisha?Nimefanya resercha yangu wababa 3 vijana 3 ila kwa kweli wababa wanajua jamani tuwape hongera sasa nyie vijana sijui tatizo ni nini?sijui vyakula,sijui haraka,sijui stress za maisha hamko stable. Huku mjini kuna wamama wanauza mihogo mibichi na matango muwe mnanunua kidogo zinasaida pia mule korodani za jogoo. Itakuwa mnatuoa nyie ila starehe tunazipata kwa wababa.
Angalia Zahra White, haya mambo kama una ndoa utaikimbia na kuhamia kwangu maana hiyo mechi ujue itakuwa ni ya kuweka rehani utu wa vijana wenzangu? Na refa kama ni wa kike naomba mshika kibendera awe wa kiume!!!!!!!!!! Vijana msijali kazi toka namuandaa hadi namfikisha kileleni sihitaji kuwa coached maana hata bila jando kazi naiweza tufurahie ushindi na hao wazee wake zao kumbukeni wanalalamika hawawafikishi mjue hilo nilikuwa najua mabinti mnafuata fedha huko kumbe mambozi......... duh hadhi ya vijana nairejesha iwe lini hiyo mechi mama!!!!Kijana Zahra White ni issue nyingine kabisa nakubali kwa masharti refa awepo
Kuna msomi mmoja aliamua kufanya utafiti ni kwa nini wadada wanajiuza, akaenda usiku kwenye maeneo yao akijadai na yeye ni changudoa. alipofika tu akapata mteja wa kwanza aliyemlipa kiasi kikubwa cha pesa. mwisho wa siku na yeye akanogewa na uchangudoa. Mambo ya utafiti hayo.
Dada yangu hizo mbwembwe kwani kuna tofauti gani kati ya chips yai na viazi vitamu maziwa wanavyo kula vijijini? hayo matatizo ya mtu binafsi kuna mtu kaniprivate hapa subiri akipigwa mambo aje hapa kuthibitisha ntataka akae nami five days asije singizia labda nilitumia stimulation products asipo kuja mimi ntamtaka afanye hivyo hapa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Vijana wengi wameharibiwa na punyeto kwa sana na ubishororo wa kula chips. Acha sisi tupige gemu la uhakika
hahahaaa...... Ukisha mpa mambo mlete na ushuhuda hapa!
Mod, Naruhusiwa kuanzisha shindano la pon asilia kupitia jamvi? manake majigambo yanazidi sana humu unaonaje tufanye na tuwe tunatundika kideo zao hapa ili kumaliza ubishi?
Pamoja na hayo je mwajua kuwa kula denda na kulamba chumvi ni imported habits? lengo lake ni delaying tact za ku force hisia ziwe tayari. Kwa mtindo huu chagulaga inayosifika kwa kuongeza uzao wa kabila letu hasa wakati wa bulabo haiwezi kufanyika ati!
Nakwambia hivi, ukipata dereva ajuaye hata kiuno hukati bwana! utabakia kugugumia kwa raha ukiwa umelegea ili uipate vizuri. Kuna wanaume wamejaaliwa bwana si kwa nguvu tu bali utamu pia!
Teh. Teh.ha ha hii ngumu kumeza hasa ikiku touch
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Umeogopa tena!!!!!!!!!! maana naona unweza reverse result wewe!!!!!!!!!!!!!Thubutu yake hii ngoma kubwa na chakula ya watu wakubwa wanaojielewa wapaka shombo hata salamu hapati