Wanaume tuweni makini!

Mapenzi si pesa ulidhani labda atakuelewa kirahisi kisa unampa pesa za matumizi? Hao masharobaro unaosema hawana mbele wala nyma ndo wanao mpa raha ya mapnzi. Jifunze kusoma alama za nyakati
Nimemshangaa aliposema anamegwa na vijana ambao hawana mbele wala nyuma. Yaani unamdharau mtu anayekutombea dem wako?
 
SAMAHANI MKUU, UMEANZA MAPENZI UKUBWANI, KWA SABABU HAINGII AKILINI KIJANA MIMI NILIYEFUNDWA JANDON NIKACHEZA NA MABINTI KIBABA BABA, SHULENI TUKAFANYA MICHEZO YA PORINI.. NIKATEMBEA MIKOA MBALIMBALI NKAKUTANA NA WANAWAKE WA AINA MBALIMBALI HALAFU LEO NIMHUDUMIE MWANAMKE AMBAYE KWA JICHO LA HARAKA UNAONA KABISA HAKUJALI, HAIWEZEKANI MKUU, UMEANZA MAPENZ UKUBWANI MPAKA UNAAMIN KARNE HII SEX NI MPK MARIAHE? IMPOSIBLE.

HIYO 20M WAPELEKEE WAZAZ WAKO.
 
Mkuu mwaka mzima hata kugonga haujagonga demu co bikra ulitegemea mwaka wote huo yeye anatumia maji ya moto au kama umekosa ubunifu wa kumtafuna napata mashaka sana na ww cku hz ukikamata tafuna kwanza ukiona anakuzingua achana nae ukienda sawa ndo unatangaza ndoa
 

Asheee Kumbe mimi ni namba moja so sad.
 
pole sana mkuu

mimi ni moja kati ya wale vijana wanaotoka na mademu wanaohudumiwa na mabosi na ni mlaghai pia


mwanamke anaekupenda utamjua na asiekupenda utamjua tu kwa matendo yake

siku hizi wanawake ni wengi hadi malimbwata yana-expire kwasababu kila tuendako wamejaa kwahyo akionyesha hata kua busy na sisi tunakua busy na watu wengine

me naamini wewe hujawahi kua bad boy na wala sio mtundu wa kuushinda moyo wa mwanamke


pole sana lkn fanya utafute mwanamke mwingine na uoe fasta ili huyo bint aje ajute baadae
 
The world is not fair, tukiwa wastaarabu tunafanyiwa kila aina ya vituko
.
 
We ulitaka akupende wewe kwa kumlaghai na hela zako? Kashapenda kule we muache tafuta mwingine atakae'kupenda
 
Tatizo mnapenda sana kutumia pesa kulazimisha mapenzi. Haya ndiyo madhara yake sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…