Wanaume Tuweni Makini Sana!

Rural Swagga.. Tel us huyu wa haya maviungo sio yule aliekwambia wewe ni ka kid kweli???

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Ndio hao hao alafu wanajifanya wanakua wakalii,,Mimi ndio nshatupa Jiwe Gizani atakayekutana nalo la kwake
 
Umeambiwa dunia sinia pakua unaweza. vipi ww bado mpaka ss au umepakuliwa?
 

sasa watafika kipindi watazibanika, maana ndimu ishazilanisha vyakutosha.
 
hivi bado mnatafuta bikra tuu???? mambo yanabadilika bana. tafteni wenye experience ya kufanya kazi zaidi ya miaka kumi tena makampuni tofauti tofauti
 
no comment kwenye hili mie na mabinti wadogo mbalimbali
 

Mmmh... Kazi kweli kweli..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…