Kassimu Mchuchuri
Member
- Aug 9, 2018
- 95
- 294
maisha yalivyo unachokitaka huwa hukipati na ambacho hukitaki ndio huwa unakipata.Wanaume tuwe makini
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
KUCHAGUA MCHUMBA (Mke)
1: awe mcha Mungu
2: awe waimani kama yako
3:mkarimu
4: mchapakazi
5:mwenye mapenzi ya kweli asiye penda pesa zako tuu
6:asiye mgomvi
7:awe safi kiroho na kimwili pia
8:mwenye mapambo ya rohoni
Naona ushauri ndani ya ushauri 😀Wanawake pia tuwe makini katika kuchagua mwenzi mume maana wanaume ni wengi lkn wenye karama za ndoa ni wachache tuwe makini....
NdiooNaona ushauri ndani ya ushauri [emoji3]
Maisha yakibana watu humrudia MunguHamtaki chura tena??
dawa ni kupiga miti vizurWanawake pia tuwe makini katika kuchagua mwenzi mume maana wanaume ni wengi lkn wenye karama za ndoa ni wachache tuwe makini....
awee anajua kutombanMi zangu tatu..
1. Beauty (awe mzuri mbele ya macho yangu).
2. Kind (awe na roho iliyokunjuka kwangu na kwa wengine
3. Smart (asiwe kilaza, yaani hasa akili ya maisha)
sawa lakin awe anajua style mbalimbalimaisha yalivyo unachokitaka huwa hukipati na ambacho hukitaki ndio huwa unakipata.
cha maana ni kumpiga miti vizuri mpaka anakua na tabia nzuriMi mke wangu yote hayo hana na anapenda sana hela
duuh hatareNdioo
Hii si inafundishika mzee, au unataka wawe washakufundishia mabaharia wengine?awee anajua kutomban
Sawacha maana ni kumpiga miti vizuri mpaka anakua na tabia nzuri