Wanaume tusichekwe na wanawake..ngoma droo

jangala

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2014
Posts
1,583
Reaction score
2,385
Wakati wanaume wengi tukitafuta ni jinsi gani tuweke heshima kunako 6 kwa 6(kukabiliana na upungufu wa nguvu za kiume)..wanawake nao wanahangaika kumtafuta chura aliko ili waweke heshima kwa wanaume...hapa ngoma drooo...wanaume oyeeeeeeeee..tuendelee kudai na kupenda chura
.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…