Wanaume tuongee kidogo, wanawake ruksa kushiriki pia

kombaME

JF-Expert Member
Aug 24, 2015
2,115
2,815
Namshukuru Mungu ni mzima natumaini nanyi pia, jamani Mungu ni mwema sana aliamua kuumba mtu mke na mtu mume, hawa wote ni muhimu sana kweny nafas zao kutokana na kuhitajiana mahusiano hadi ndoa zikawepo.

Pia wanaume sisi tumepewa nafas ya kuwaongoza wanawake ila kwa makosa yetu wenyewe kwa kutojua au kwa kujua tumejikuta tukiwauzia wanawake nafas ya kutuongoza sisi.

Leo wanawake wana uwezo wa kuongea chochote kwa wapenz wao hata waume zao pia,ni tabia ambayo inakuwa kwa kasi sana,wanawake wamekuwa tatizo ile adabu ya kimke haipo wanatoa majibu ya kuudhi kwa waume zao muda mwingine mpaka inashangaza.

Wanaume sasa tumekuwa watu wa kulia kwenye mahusiano,,, ni stress stress, ulevi unazidi kushamiri na unataka uwe kama ganzi ya maumivu hayo huku watoto wakiwa ndo waathirika wakubwa. Michepuko imekuwa kama ni lazima hivi kwa wanaume wengi wenye wake zao napo pia familia zinazidi kuathirika.

Na ndoa zimekuwa adimu sana sio wadada sio wakaka ndoa zinaogopeka kama laana hivi, Kijumla Hali ni mbaya sana na kuokoa kundi Zima ni ngumu ila mtu mmoja mmoja inawezekana.

Sasa wewe mwanaume kama kiongozi wa familia unahisi nini kifanyike wanawake wetu warudi mikononi mwetu na tuchukue tena madaraka kamili ya kuwaongoza?

Kwa wanawake mnadhani tumewakosea wapi mpaka mtunyang'anye madaraka ya kuwaongoza?

Tufanye nini ili mtupe tena nafas ya kuwaongoza?
 
Last edited by a moderator:
Hiyo ipo kwako tu mkuu...wengine huku tabia hiyo ya maskio kuzidi kichwa haipo...
 
Mambo kurudi kama zamani haiwezekani!chakufanya chagua mtu sahihi,heshimianeni muogopeni Mungu,kua ngangali na msikivu kaa mbali na vishawishi na tambueni kilichowafanya muwe mwili mmoja.
 
Namshukuru Mungu ni mzima natumaini nanyi pia, jamani Mungu ni mwema sana aliamua kuumba mtu mke na mtu mume, hawa wote ni muhimu sana kweny nafas zao kutokana na kuhitajiana mahusiano hadi ndoa zikawepo. Pia wanaume sisi tumepewa nafas ya kuwaongoza wanawake ila kwa makosa yetu wenyewe kwa kutojua au kwa kujua tumejikuta tukiwauzia wanawake nafas ya kutuongoza sisi. Leo wanawake wana uwezo wa kuongea chochote kwa wapenz wao hata waume zao pia,ni tabia ambayo inakuwa kwa kasi sana,wanawake wamekuwa tatizo ile adabu ya kimke haipo wanatoa majibu ya kuudhi kwa waume zao muda mwingine mpaka inashangaza. Wanaume sasa tumekuwa watu wa kulia kwenye mahusiano,,, ni stress stress, ulevi unazidi kushamiri na unataka uwe kama ganzi ya maumivu hayo huku watoto wakiwa ndo waathirika wakubwa. Michepuko imekuwa kama ni lazima hivi kwa wanaume wengi wenye wake zao napo pia familia zinazidi kuathirika. Na ndoa zimekuwa adimu sana sio wadada sio wakaka ndoa zinaogopeka kama laana hivi, Kijumla Hali ni mbaya sana na kuokoa kundi Zima ni ngumu ila mtu mmoja mmoja inawezekana. Sasa wewe mwanaume kama kiongozi wa familia unahisi nini kifanyike wanawake wetu warudi mikononi mwetu na tuchukue tena madaraka kamili ya kuwaongoza???? Kwa wanawake mnadhani tumewakosea wapi mpaka mtunyang'anye madaraka ya kuwaongoza??? Tufanye nini ili mtupe tena nafas ya kuwaongoza???


Aisee mi kwa mavituz waifu anayonipa,acha aniongoze tu.....
 
Hii hali haitabadilika kamwe tena inazidi kuwa worse. Inaogopesha.

Nakubaliana na wewe shangazi, hali inazidi kuwa mbaya kila kukicha, huu utandawizi unatuondolea maadili ya kifamilia.
Mwanamke kuwa kichwa cha nyumba siku hizi ni jambo la kawaida.
 
Back
Top Bottom