Secret Star
JF-Expert Member
- Jul 1, 2011
- 1,857
- 2,089
Hongera kwa kuwa na mchumba na mtoto waliopo Sweden...
Ama kweli kuna watu hawajajaliwa kabisa kuelewa kwa mifano!...wewe hapo kwa akili yako ya kawaida haujang'amua kitu kabisa?!!
Haya upande ndege na wewe uende swideni,
usisahau kuvaa dhera na wigi sawa eeh..
..........., ha hahahaha! .......mchumba......anafanya mapenzi na mbwa!!!!
Hahahah....umeona eeh! Maana mantiki ya thread sijaielewa binafsi..