Wanaume tumebaki wa chache sana

Yani wanaume wa Dar wanavaa hadi vikuku na shanga mungu awanusuru wachache waliopona

Mtu Mzito HEAVY WEIGHT
Chris Brown mwanaume wa Dar?

Wamasai wanaume wa Dar?

Shule umeenda lakini?
 
Ukisikia mwanaume wa dar, sio lazima apatikane dar ukiona mtoto mzembemzembe wa kiume hata kama yupo shamban naye ni mwanaume wa dar

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chris Brown mwanaume wa Dar?

Wamasai wanaume wa Dar?

Shule umeenda lakini?
Shule sijaenda leo jumapili.

Ila tabia ya kuvaliana shanga & vikuku na dada zenu muache wanaume wa dar tatizo mnaiga hadi vya kipuuzi kisa chris kavaa na wewe unavaa
sasa mkataka kuiga hadi kupigwa mashine kama dada zenu mkaishia kulambwa jicho

Mtu Mzito HEAVY WEIGHT
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miti si alipigwa Kaoge na wanaume wa Dar hadi akafa. Puru kutoka Mara.
 
 
Mleta Thread Umerudi Masomoni Huko Havard University
 
Sio hiyo tu.siku hizi wanaume wengi wana vinasaba vya kike kuanzia sura,ngozi nyororo nk
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…