.....Mura hebu futa neno 'Mara' haraka kabla sija 'Kungh'echa'.Nedy ni mzanzibar kaja Dar amegwe arudi kisiwani kwao. Mashoga wanatoka Tanga, Mwanza, Mara, Zanzibar yanakuja kurundikana Dar.
Acha mkwara wewe kwani huyu si katokea Mara
....Kwani mtu akitokea mara ndio anakua wa mara?Acha mkwara wewe kwani huyu si katokea Mara
View attachment 854020
Binti ulimuuliza nani akakupa hili jibu?
Wewe huyo ni kaka yako mheshimu na amefariki uwe unaenda kupalilia kaburi lake
.....Sawa dada nimekuelewa.Wewe huyo ni kaka yako mheshimu na amefariki uwe unaenda kupalilia kaburi lake
Hadi avatar umeweka ya mwanaume mwenzako halafu kelele kibao