Tuachane na shughuli kitandan tuongelee makazi (Geto)
Kuna kadada kamoja nlidate nako mwaka jana nakumbuka swali aloniuliza "una geto kali hiv alafu huna hata mke"
Tupeane maujanja ni Vitu gan vinahitajika GETO la kijanja ili mdada adate kwelikweli akiingia mara moja tu lazima atake kurudi au atake kuishi hapo kabisa
Mi nina :
1.Feni,Gesi,chumba kina Kapeti pia kuna smell good
2:Nina kafriji(hakagandishi ila ntakatengeneza)
3:sina TV ila nina Projector 100 inch ukutani na Azam tamthilia na movie hazikosekan
4c games za kutosha
5:Chakula cha kutosha pia(nafaka)
NB:Gari sina ila majaaliwa
[Wadada pia changien mnapenda Geto la mwanaume liwe na nini mpaka uamue kuweka makazi hapo]
Ni geto la aina gani linamdatisha mdada/mwanamke/mchumba
twambie kwa uzoefu wako
Funguka