Abdul mrope
Member
- Jul 6, 2017
- 37
- 79
Hivi nyie wadada huwa mna maana gani?
Mnapo tongozwa alafu unamuuliza mwanaume"UNA MPENZI"ivi huwa mnategemea jibu gani?
Au unataka aseme yeye ni BIKIRA?
Kwa leo naishia hapa kesho nitaendelea tena