Wakuu nawakaribisha kwa serious talk
Kuna uzoefu flani wa maisha naukosa na hivyo naomba kuazima hekima zenu na uzoefu
Niko mkoa X , na niemeoa huku. Kwetu sisi ni mkoa Y mbali kwa mwendo wa more than 12 hrs kwa kutumia usafiri wa Bus.
Kutokana na mazingira haya , uhusiano wangu na familia ya wakwe zangu ni mkubwa mno . Mke wangu kila wiki lazima aende kwao, vikao na family issue za ukweni nashirikishwa sana. Majukumu yote hayo yanaambatana na matumizi makubwa ya kifedha achilia mbali mizinga ya wakwe, mashemeji na wajomba.
Kwa namna flani japo mwangi haujawa mzito , nahisi ndg zangu Kama hawaliziki na mazingira haya na to be frank .. ukweni wanafaidika zaidi ya upande wa familia yangu.
Hakuna taflani kubwa katika maisha ya ndoa yangu ila kwa kutafakari kwa jicho la kiume Kuna red light inaniambia nichukue kila aina ya taadhari na wala nisiendekeze hiki nachokiona kinaota mizizi
Wakuu hebu tusaidiane katika hili ili tupeane uzoefu na maangalizo ya msingi kuyazingatia katika context ya maisha yangu na ustawi wa familia yangu kwa maisha ya leo na kesho
Natanguliza shukrani zangu
Thanks
Sent using Jamii Forums mobile app