Wanaume njooni tuongee

Nimekupenda bure wewe dada, Ahsantee kwa maneno ya mazuri yakutia nguvu na hamasa ya kusonga mbele. Mimi sitokuangusha nitasimamia nafasi yangu; Kumhudumia mke wangu, Familia yangu na ndugu zangu (itakapo hitajika).
Ahsantee sana kwa maneno ya faraja.! Kwa mwanamke wa maneno yenye faraja kama huyu unaachaje kumtunza na kumpenda hata kuwa mdogo kama punje ya ulezi. Hakika unayo hekima mama ..! Naomba uzi huu uwaendee wanaume wenzangu.
 
Kwanini nimuone kinyongo mkuu? Nimeona tu anataka kutake advantage juu ya huyo bibie. Wakati mwanadamu kaumbwa katika mfumo wa kuEarn kila anachokipata

Sasa hiyo si bahati yake mkuu..! Kwanini wewe ikuume yeye kuokota embe chini ya mnazi
 
Mbona unajilaumu mwenyewe, ukweli unaujua na ushajibu swali lako, kwa kuongezea, Wanawake walio wengi wamegeuka adui kwa wanaume, angalia ndoa na jiulize nani mwanzilishi wa ugomvi kwenye ndoa. Wanaume wengi ni wazuri, wasikivu na wana upendo wa kweli, ila mission ya mwanamke kumtawala Mwanaume mpaka sasa haijulikani kwa ajili gani. Kwani dunia inaanguka, Wanaume wengi wamechoshwa na uchumi na maugomvi ya ndoa.
 
Una vitu vizuri vya kutupa ila jaribu kuwa una summarize dear.
 
Mimi nahudumia mpaka niliosoma nao shule ya msingi. Tena bila ya masharti wala mategemeo ya kupewa papuchi.

Kwa kuendeleza utu tu.

Sitaki kusema mengi zaidi kwa sababu za confidentiality.

Naomba unitoe list ya wanaume wasio na tija.
 
Reactions: amu
Maneno ya busara kutoka katika kitabu cha SIRA, sura ya 25 mstari wa 21 hadi 22. Yanasema.....

"Usinaswe na uzuri wa mwanamke, wala usimtamani mwanamke kwa mali yake. Ni ghadhabu, aibu na fedheha mume kulishwa na mkewe."



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hehehe... Hii thread ilikuwa tamu Sana.

Lakini nyie si mmeaminishwa kuwa kwenye hii dunia ya leo mnaweza mkawa wanaume au hata zaidi ya wanaume Nini shida tena?

"What a man can do a woman can do it better"

Au mmesurrender?
 
ni kutafuta pesa tuuuuu............pesa ndio muhimu.........vitamu huboreshwa na ngawira.....mbwembwe hamna....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…