Godoro la kioo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2025
- 456
- 1,003
Shenzi wewe mada za kijinga watu tuko kwenye maandamanoKabla ya yote niwashukuru kwa kuitikia muitiko huu
Sasa tunaweza kuketi ili tuanze kikao
Bila kuwachosha .
Kuna kitu nilihitaji majibu kutoka kwenu wanaume
Imetokea kwenye harakati zako za utafutaji uko na rafiki yako ambae mmeshibana ghafla mkatofautiana na kuanza kuvutana Mara ugomvi huo
Halafu kumbe mtu mwenyewe Ana magonjwa ya muda mrefu yanamsumbua, umemgusa kidogo unashangaa amedondoka chini
Unafanya jitihada za kumuwahisha hospitalini mmefika huko
Ripoti ya daktari inaeleza mtu amefariki.
Ghafla unaanza kuonekana muuwaji, unakuja unakamatwa unawekwa ndani
Hakimu anatoa hukumu kwamba unatakiwa ufungwe kifungo Cha Maisha
Mkeo kupata taarifa ananyong'onyea anawaza namna gani atakusaidia.
Mkeo anaamua kutembea na hakimu ili wewe usifungwe
Je. Huyo atakuwa ndo mke bora kwako?
Yapi maoni yako karibu
Nitakuuliza swali na hili swali ulijibu umakini mkubwa sana maana weengi wasio na akili uhisi wametoa jibu sahihi kumbe wametoa jibu lisilo sahihi sasa acha nikupime IQ yakoMkeo anaamua kutembea na hakimu ili wewe usifungwe
Je. Huyo atakuwa ndo mke bora kwako?
😂😂😂 Kwa Nini tenaBila shaka ww ni mwalimu
Basi sawaLeo nimeshiba sana akiri imekuwa fupi, nitakuja kucoment kesho hii mada ni ngumu kidogo, anyway kautazame wimbo wa Bahati Bukuku - Dunia haina huruma, majibu utayapata huko.
Mbona jibu simple tu uchi wakeNitakuuliza swali na hili swali ulijibu umakini mkubwa sana maana weengi wasio na akili uhisi wametoa jibu sahihi kumbe wametoa jibu lisilo sahihi sasa acha nikupime IQ yako
Je! Uchi wa mkeo ni uchi wako au ni uchi wake?
Ni mfano tu Wala usiwe serious kihivyoKwanza sina mke , pili sinaga mda wa kupigana kama watoto wa kidato cha pili , hivyo uzi wako ni wa kiwaki .
Basi sawaSheria ifate mkondo wake,nitarudi mahakamani kushtaki kuwa hakimu alipokea rushwa ya ngono toka kwa mke wangu ili nitoke gerezani,na sheria inasema mtoa na mpokeaji rushwa wote wana makosa. Wote wataishia gerezani kisha nitamuoa mke wa huyo hakimu.
Sipo serious ni mfano tuNi mfano tu Wala usiwe serious kihivyo
Baada ya kusoma hapa, naomba niseme huu ni uzi wa kifalaMkeo anaamua kutembea na hakimu ili wewe usifungwe
Wakati mwingine kushindwa kudhibiti mihemko Kama hasira inadhihirisha ni kwa namna ulivyo na upeo mdogoShenzi wewe mada za kijinga watu tuko kwenye maandamano
Huyo na waalimu havichangamanagi😆😂😂😂 Kwa Nini tena
Hizi soga achana nazo kwanza nchi bado haija kombolewa. Tutazikuta baada ya ukombozi 🙏🙏🙏Kabla ya yote niwashukuru kwa kuitikia muitiko huu