Wanaume nasi pia tunanyonyesha.

Wanaume nasi pia tunanyonyesha.

mtzima

Member
Joined
Aug 1, 2013
Posts
41
Reaction score
13
Wanajf leo nimeshuhudia kisa ambacho kimenifurahisha sana,tulikuwa kwenye semina flani na haikuwepo dalili ya kuisha mapema semina hy ingawa muda wa jioni ulikuwa umekaribia ambapo kinamama wengi walianza kutoka na kuchukua posho zao kwa gea kuwa wananyonyesha,basi akainuka mbaba mmoja nae kasema ananyonyeshaga hivyo nae apewe kipaumbele atoke mapema,basi kuona hivyo mwezeshaji akatoa ruhsa kwa wababa wote wanaonyonyesha mabebi zao waende kuchukua posho waende wakanyonyeshe watoto wao,na ndio ikawa mwsh wa semina,wote tukatoka,uzuri tulikuwepo watu wazima tupu,vp wakuu na nyie mnanyonyesha mabebi zenu?
 
Mimi mke wangu alinipa zamu ya Kunyonyesha. Ilibidi ninunue Lactogen ikifika zamu yangu
 
Inategemea na ni bebi yupi unaemnyonyesha wewe,maana wako wa aina mbili,ile inayoanza kuitiwa msata au under 5
 
Ha ha ha haaah,,,,,,,,kunyonyesha nn?
 
Kwahyo na wewe unanyonyesha??
Huyo mwanao ananyonya nin?? Au beby gan ananyonya??
Tungo tata hii

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
Back
Top Bottom