Wanaume muwe mnajiongeza basi

Ukiona hivyo ujue wewe sio mtamu,ungekuwa mtamu angekupa hata mshahara wake wote
 
Si kwa hasira hizo
Bila shaka huyo ni mwanaume wa Dar ndo amekutongoza
 
Mwanamke jitambue, jiheshimu, jithamini, jilinde, jipende, jifikirishe, jiulize ww ni nani kisha jiongeze.
 
Hahaaaa..we mkope tu siku akipata atakulipa.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
NYIE SI MNATAKA FIFTY FIFTY?
WANAWAKE WA SASA WENGI HAWIJUI THAMANI YAO WALA WANAUME HAWAJUI THAMANI YA WANAWAKE. ZAMANI MWANAMKE ALIKUWA PAMBO LA NDANI LAKINI SIKU HIZI NI CHOMBO CHA STAREHE
 
Kibaya zaidi mama zetu wanatuombea kazi za mikono yetu zipate baraka. Kumbe mikono yenyewe inatumika kutomasa tomasa chakula cha watoto.
 
Tafuta pesa zako dadangu, mapenzi sio pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…