Wanaume muwe mnajiongeza basi

cutelove

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2017
Posts
3,586
Reaction score
8,389
Wanaume sijui wamekuwaje Siku hizi,unakuwa naye kwenye mahusiano,halafu hakupi hata hela ya matumizi mpaka umuombe

Kwanza anapokupa anajivuta vuta,muda mwingine wanapotezea,lakini yeye akiwa na hamu fast sms njoo ghetto nikwambie

Mbona wanaume wazamani walikuwa wanatoa matumizi wa siku hizi wamekuwa mabahili ndo maana hata hawajengi wanaishia kupanga tu

Kama haupo tayari kumhudumia mwanamke ya nini umtongoze,unafurahia kushikashika mwili wake huku hauutunzi

Mwanamke maua,ili aendelee kuchanua mwagilizia maji,ili asije akaanza kukucheat,unakaa unalalamika mke wangu ananicheat,unamdukua kumbe tatizo lako,humjali unategemea ataendelea kuwa na wewe

Jiongezeni basi
 
Tatizo lenu huwa hamsomi hali ya hewa, sasaivi hata sis tunao honga tumepunguza,

Njoo kwangu nikuhonge 50k kwa wiki.. Alaf upate taabu saana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…