Kwani sisi wanawake mmetuweka kwenye kundi gani? Mnatuonaje yaan? Mbali na kuwazaa kuwalea mkakua kwani sisi wanawake mnatuonaje onaje....mfano Mimi wakiniuliza wanaume unawaonaje onaje...nitawajibu nawaona kama nyumbu....maana tabia ya nyumbu ni kusahau ...akianza fukuzwa na simba anakimbia dakika moja then anastuck ashasahau kuwa alikuwa anafukuzwa na simba ivo anajishangaa kwa kitendo chake cha kukimbia pasipo sababu....ivi mnakumbuka kweli kwamba sisi ni mama zenu kweli? Sijui mnatuonaje yaan
Kwani sisi wanawake mmetuweka kwenye kundi gani? Mnatuonaje yaan? Mbali na kuwazaa kuwalea mkakua kwani sisi wanawake mnatuonaje onaje....
Ha ha haa,nimesema wanawake wanawazaa nyie wanaume.... Kwahiyo Leo nijitoe niwe mwanaume? Hapana kwa kwelimpuuzi wewe huwezi kuwa mama yangu ata uzae watoto 200 hapo mama yangu atabaki mama yangu na wewe ubaki kuwa mwanamke tu bogazi Kabisa Mama yangu afananishwi na kinyago kama wewe au mtu yoyote hapa Duniani... Mama yangu ni mtu special zaidi ya special
Ha ha haa,kufananishwa na nyumbu wamechangamka balaa
Live ur life wanaume hautowaeza Mtu anayekugeuza kama chapati sio level yakoWanaosema vibaya wanawake,kama hawajazaliwa na wanawake vile
Mi nawaona kama mama nyumbuKwani sisi wanawake mmetuweka kwenye kundi gani? Mnatuonaje yaan? Mbali na kuwazaa kuwalea mkakua kwani sisi wanawake mnatuonaje onaje....mfano Mimi wakiniuliza wanaume unawaonaje onaje...nitawajibu nawaona kama nyumbu....maana tabia ya nyumbu ni kusahau ...akianza fukuzwa na simba anakimbia dakika moja then anastuck ashasahau kuwa alikuwa anafukuzwa na simba ivo anajishangaa kwa kitendo chake cha kukimbia pasipo sababu....ivi mnakumbuka kweli kwamba sisi ni mama zenu kweli? Sijui mnatuonaje yaan
Mbona utakoma, mi hata sikusaidii nitakuwa nachungulia kukujulia hali🤣🤣Nimewagusa balaaa,tupo kolikoli.....Leo ninacho balaa
Ukizidiwa niite nikupepee shoga yanguHa ha haa,ngoja nikimbizane nao leo