wanaume msitumie simu ku approach!

Kumbe sasa nitakuwa navizia kwenye kisima cha maji kama babu alivyo mpata bibi kwa kuvia kila siku jiona mpaka bibi akakubali
 
huna mbeleko ya kunibeba wewe bwana kazi kweli kweli lita ngapi now?
Ndugu yangu kwa masikitiko naomba kukutaarifu kuwa nilipatwa na mfazaiko kidogo na naomba unisamehe lita zimepungua kwa 0.00001. Baadala ya kuongezeka usiku huu nilikuota nakugusa zikajipunguza. Naahidi kutorudia haya makosa. Nadhani utanisamehe
 
ndugu yangu kwa masikitiko naomba kukutaarifu kuwa nilipatwa na mfazaiko kidogo na naomba unisamehe lita zimepungua kwa 0.00001. Baadala ya kuongezeka usiku huu nilikuota nakugusa zikajipunguza. Naahidi kutorudia haya makosa. Nadhani utanisamehe

umesamehewa ole wako uchafue shuka tena ... Unaleta gharama nyingine za maji na sabuni.. Ukome
 
Ujumbe uwendee madomo sege; binafsi shapata wangu labda itokee nitake kubadilisha diet.
 
umesamehewa ole wako uchafue shuka tena ... Unaleta gharama nyingine za maji na sabuni.. Ukome
Nakubali ila naomba nauli nije kumwona mgonjwa, nazi zangu hazijauzika hivyo sina hela. Pia nikifika Mbagala naomba uje kunichukua nisije gongwa na magari ya huko kwenu Bongo
 
Muda wenyewe wa watu kukutana na kuanza kutongozana upo kweli?
 
Nakubali ila naomba nauli nije kumwona mgonjwa, nazi zangu hazijauzika hivyo sina hela. Pia nikifika Mbagala naomba uje kunichukua nisije gongwa na magari ya huko kwenu Bongo

ukifika tu usijali nauli nitakutumia mda si mrefu uusijali rafiki yangu kichupa
 
hahahaaaa!!poleni sana mna shughuli
mpaka mpate utamu jasho limewatoka!!

bwana wee...ila its all worth it when u see the look on a gals face as u are burried deep inside her moaning and beggin for it. alafu hapo ndio transfer of power inpotokea...kuanzia hapo kidume unakuwa kwenye driving seat
 
for that case, dawa ni kuwapiga chini tu! akikuanza kwa technolojia na wewe unammaliza kitechnolojia.

wait a minute here what type of men do u attract that keep tongozaring u over the phone?
 
bwana wee...ila its all worth it when u see the look on a gals face as u are burried deep inside her moaning and beggin for it. alafu hapo ndio transfer of power inpotokea...kuanzia hapo kidume unakuwa kwenye driving seat
mh sasa mzabzab mi kidhungu sijui
sijui ndio umesemaje hapo!!
 
Last edited by a moderator:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…