wanaume msitumie simu ku approach!

haijalishi,bora ujumbe ufike
 
Nilitaka kushangaa nikukose huku We Bazazi Mkubwa kumbe wewe ndo unatuharibia dadazetu humu ze JF???

Hahahah kudadadadeki tena wewe unatongoza mpaka avatar. Tunakustahi tu bazazi wahedi.
 
Join Date : 8th March 2008
Location : Psychiatric Ward

Posts : 28,616

Rep Power : 2048558

Likes Received
17572

Likes Given
24155



We forgive you babu!!!

Endelea kuniombea, nikitoka huku nawahi kanisani kuihubiri injili. Hakika utaokoka, na videmu vya JF vitakutosa.
 
hakuna fomula kwenye kutongoza mammy.kama ipo ipo tu na hata bla kutongoza mtoto anajleta getoo.
 
kwani kutumia simu sio kuwa na nia?? au hujui nini maana halisi ya neno nia wewe??

btw, naishukuru nokia yangu, imenipa babies wazuri niliokuwa sina muda wa kuwa nao hapo kabla!

simu mpya, dem mpya!!
 
nenda na wakati wewe, hayo ni mambo ya zamani ya kuviziana,
 
hahaha sasa unajua udomo zege nao unachangiwa na nyie warembo....bila upenez basi mwanaume sii lolote. na ukweli bidada ni kwamba wanaume tusipokuwa na shilingi confidence sifuri lol
hahahaaaa!!poleni sana mna shughuli
mpaka mpate utamu jasho limewatoka!!
 
sio domo zege...ni kwamba amekuona wewe ni wa migegedo tuu

for that case, dawa ni kuwapiga chini tu! akikuanza kwa technolojia na wewe unammaliza kitechnolojia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…