tatizo ulinikataa ukasema mimi mfupi,hadi ukaniita mbili kimo,yani nilikupenda hadi nikajihisi kufa kufa hivi,nililala siku tatu bila ya kula,ulinitusi na kunikejeli sana,lakini leo unakuja na kulalamika mitandaoni,kweli ulimwengu hadaa na dunia ndio shujaa acha ulimwengu ukufunze.
Alisikia lmevi mmoja akiwaza baada ya kulewa kidooooogo.