POLE SANA KWA KUMPENDA SHETANI, MAY BE MTAFUTE MALAIKA ATAKUFAAYaani ni hivi, huyu mwanamme niliyemwamini na kumpenda sana, kumbe ni Shetani.
Nimegundua ana wanawake wengine zaidi ya 10 mikoa tofauti, baadhi yao nimeongea nao na kujiridhisha. Ila cha ajabu bado anakataa hawajui.
Mbona kuna watu wanafurahia mapenzi kwa nini mimi nateseka?
Nimeamua kumwacha ila naumia sana jamani.
Ama kweli dunia haina usawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani ni hivi, huyu mwanamme niliyemwamini na kumpenda sana, kumbe ni Shetani.
Njoo kwangu milango iko waziYaani ni hivi, huyu mwanamme niliyemwamini na kumpenda sana, kumbe ni Shetani.
Nimegundua ana wanawake wengine zaidi ya 10 mikoa tofauti, baadhi yao nimeongea nao na kujiridhisha. Ila cha ajabu bado anakataa hawajui.
Mbona kuna watu wanafurahia mapenzi kwa nini mimi nateseka?
Nimeamua kumwacha ila naumia sana jamani.
Ama kweli dunia haina usawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Shetani ni huyo wa kwako usitumie udhaifu wake ku justify ...mbona mikoa yote Tanzania ina wakuu wa mikoa na wilaya ila mama Janeth hajawahi kumwonea wivu mzee Jiwe ama unadhani alishindwa kuisimamia mikoa hiyo peke yake!Yaani ni hivi, huyu mwanamme niliyemwamini na kumpenda sana, kumbe ni Shetani.
Nimegundua ana wanawake wengine zaidi ya 10 mikoa tofauti, baadhi yao nimeongea nao na kujiridhisha. Ila cha ajabu bado anakataa hawajui.
Mbona kuna watu wanafurahia mapenzi kwa nini mimi nateseka?
Nimeamua kumwacha ila naumia sana jamani.
Ama kweli dunia haina usawa
Sent using Jamii Forums mobile app
POLE SANA KWA KUMPENDA SHETANI, MAY BE MTAFUTE MALAIKA ATAKUFAA
SIKU ZOTE DUNIA HAIKO FAIR...MKIAMBIWAGA MSIPENDE MAZIMA MAZIMA NYIE MNAKUWA WABISHI
Huyo ni sheheeetani juu ya masheeeetani mbele ya masheetani.
Wote tuko ivyo so mbadilishe wakwako tabia na uendelee nae maana hata ukiachana nae popote utakapoenda utakuta hayohayo kikubwa akuheshim halaf KOMA KUPEKUA SM ZA MWANAUME
Mkuu kwani Kuna magonjwa ya hela..?
Shetani ni huyo wa kwako usitumie udhaifu wake ku justify ...mbona mikoa yote Tanzania ina wakuu wa mikoa na wilaya ila mama Janeth hajawahi kumwonea wivu mzee Jiwe ama unadhani alishindwa kuisimamia mikoa hiyo peke yake!