Wanaume mnaopiga wake zenu

TATIZO KUBWA UNAFIKIRIA WAKATI NYEGE ZIMEKUTAWALA TU... mfano kama umefanya kosa la kucheza VICOBA na unaniletea kesi kua unatakiwa kulipa 4m na huna pa kuzipata so unaleta tatizo ili nisolve mimi, unahisi ntaacha kukukanda makofi niwaze kuufukunyua huo uchi!?.. lady are you serious!?.
 
Hii imenifanya nimkumbuke jamaa angu mmoja hv, alikuwa anapenda rough and hard sex hasa akiwa na hasira! Ama mtu kamkwaza, halafu kitu ingine alikuwa hapendi niongee chochote mile hata story tu hataki! ! Ila siku moja nilivunja ukimya, nikamuomba dk tano tu za kuongea nae! Nikamwambia leo mwisho hutoniona wala sitakuhitaji!

Hadi leo ananisumbua pamoja na kumublokuuu
 
Uko sahihi,tatizo kuna mda KUZABA KIBAO NDIO NJIA PEKEE YA KUMKUBUSHA M.MKE KUWA UNAONGEA NA MMEO.. By the way HASIRA ZIKIZID HATA GENYE HAZIPANDI.
 
Kumdunda mwanamke ni udhaifu.
Kuna majira ya kumzaba kibao kimoja mpk aonye nyotanyota za alphacentauri ,kuna mda wa kumsamehe kwa kuwa hamna haja ,na kuna mda wa ku-njunju aache kukera watu.

Ila kupiga m.mke mpk kumsababishia majeraha makubwa kama yanayosambaaaga social media ndio udhaifu..ila kumpiga mwanammke sio udhaifu.

(Maana akili zenyewe sometimes mna zitoaga cjui mnakopesha wapi)
 
Kupiga ni kupiga haijalishi ni kwa namna ipi.
 
Naona mwanamke anatufundisha na kutushawishi sisi wanaume kuwabaka wake zetu
 
Kwa hivi vibamia mnavyotunanga navyo unadhani hilo litasaidia? Hivi mwanamke anakomeshwa kwa kulalwa sana?
 
I’m in love with your approach for real
.... wanaume eeeh tuanzeni hivyo.
 
Mmmh mawazo mazuri ila cha kusikitisha mwanamke niliye nae kisirani chake huwa ni kirambasi. Hataki kuguswa kabisa, yani huwa anataka umuache kabisa lasivyo unaweza kula wewe makofi.

Wenye wanawake ambao hasira zao zinasababishwa na nyege wanaweza ku practice hilo swala. Sie wengine tujipige kifua na kusema bwana alitoa na bwana alitwaa!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…