Computer mpakato
Member
- Jan 18, 2019
- 75
- 38
Ahsante, ila naona kama unatuhadaa. Kwenye Uzi wako huu mfupi umetaja neno pesa/hela zaidi ya Mara nane.Mpaka hapo hujaona unyeti wa hii kitu.Kwa sasa wanaume wanaamini kuwa mapenzi ni pesa ,yaani ili apendwe na mpenzi wake lazima awe na hela za kumpa kitu ambacho si Kweli
Ukweli ni huu,sisi wanawake tunaridhika na mwanaume aliye vizuri kitandani,anayenifikisha kibo na mawenzi,huyo hakika ni moyo wangu,na haiwezi ikapita SAA 1 sijakuuliza uko wapi,au kukuulizia kitu chochote na kama hana hela namwelewa sana,na naona kawaida tofauti na yule ambaye kitandani hayupo vizuri halafu nikuombe hela ,huna ntanuna na naweza kukuona kama takataka Fulani na unavyojua wanawake tunadharau sana
Mwanaume hata kama una kidogo,kwa ajili ya matumizi madogomadogo ila unajituma 6Γ6,Wewe nakung'ang'ania mpaka basi,hata kama tumepigika tajiri mmoja akaja kuomba gem nampa ili nipate hela za kutumia na mpenzi nimpendaye ila siwezi kumwambia mhela nimetoa wapi ,naweza kumwambia nimekopa madam maisha yetu yasonge
Wewe mwanaume hebu jitume umfikishe kibo na mawenzi mpenziwe halafu mnyime hela uone kama huyo mwanamke atanuna au atakuacha,hakuachi ng'oo,hata kama amekufumania hawezi kukuacha lakini kama hufanyi kazi au unafanya blah blah basi jiandae kuachwa au kuwa ATM
Mwanaume tafuta pesa na piga kazi 6Γ6 uone,mwanamke atatulia kama maji ya mtungi atakuheshimu kama baba yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Usaliti ni usaliti tu iwe moyo unapenda au haupendi hivyo achana na mawazo ya usaliti hata kama mtalala njaa siku 100 maana neno la Mungu linasemaKama imeshindikana kabisa kupata hela ya kula ndo nafikia hicho kiwango ila sijamaanisha namuacha na hata hivyo nitakuwa nafanya moyo unauma,sio kwa kupenda
Sent using Jamii Forums mobile app
Na huko ukikuta anakila ktu pesa ya kukuhudumia na anauwezo wa kukukaza vzuri si utamuachaKwa sasa wanaume wanaamini kuwa mapenzi ni pesa ,yaani ili apendwe na mpenzi wake lazima awe na hela za kumpa kitu ambacho si Kweli
Ukweli ni huu,sisi wanawake tunaridhika na mwanaume aliye vizuri kitandani,anayenifikisha kibo na mawenzi,huyo hakika ni moyo wangu,na haiwezi ikapita SAA 1 sijakuuliza uko wapi,au kukuulizia kitu chochote na kama hana hela namwelewa sana,na naona kawaida tofauti na yule ambaye kitandani hayupo vizuri halafu nikuombe hela ,huna ntanuna na naweza kukuona kama takataka Fulani na unavyojua wanawake tunadharau sana
Mwanaume hata kama una kidogo,kwa ajili ya matumizi madogomadogo ila unajituma 6Γ6,Wewe nakung'ang'ania mpaka basi,hata kama tumepigika tajiri mmoja akaja kuomba gem nampa ili nipate hela za kutumia na mpenzi nimpendaye ila siwezi kumwambia hela nimetoa wapi ,naweza kumwambia nimekopa madam maisha yetu yasonge
Wewe mwanaume hebu jitume umfikishe kibo na mawenzi mpenziwe halafu mnyime hela uone kama huyo mwanamke atanuna au atakuacha,hakuachi ng'oo,hata kama amekufumania hawezi kukuacha lakini kama hufanyi kazi au unafanya blah blah basi jiandae kuachwa au kuwa ATM
Mwanaume tafuta pesa na piga kazi 6Γ6 uone,mwanamke atatulia kama maji ya mtungi atakuheshimu kama baba yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahaha,, mkuu umetisha sana ila ni kweli usiopingika hivi viumbe huwa hawaeleweki kabisa hitaji la moyo wao dawa yao unawowa waine kwisha habariBabu yangu mwenyewe hakujua wanawake wanataka nini ndo maana akawaoa wanne labda wataelewana wanachotaka
HapanaAre you chloe O'Brien???
I see! She was super genius and straight forward womanHapana
Mkuu nisiende kazini nisipate mda wa kupumzika,vp ww huendi job pia?Kwa upande wangu mm kama Lily,napenda mwanaume anipe Muda wake zaidi..Yani kitendo cha kunipa MUDA WAKO hiyo ni faraja sana kwngu,najua ndani ya huo muda wako nitapata kila kitu,,"YOUR TIME"
I see! She was super genius and straight forward woman
Unajua hata kahaba yawezekana ana mtu wake anayempenda lakini kuna mwingine anampa huduma ya ngono kwa sababu ya fedha, sioni tofauti na wewe labda kahaba yeye anafanya biashara ya ngono kwa uma (public sector) wakati wewe unafanya kwa mtu binafsi (public sector) .Kwa sasa wanaume wanaamini kuwa mapenzi ni pesa ,yaani ili apendwe na mpenzi wake lazima awe na hela za kumpa kitu ambacho si Kweli
Ukweli ni huu,sisi wanawake tunaridhika na mwanaume aliye vizuri kitandani,anayenifikisha kibo na mawenzi,huyo hakika ni moyo wangu,na haiwezi ikapita SAA 1 sijakuuliza uko wapi,au kukuulizia kitu chochote na kama hana hela namwelewa sana,na naona kawaida tofauti na yule ambaye kitandani hayupo vizuri halafu nikuombe hela ,huna ntanuna na naweza kukuona kama takataka Fulani na unavyojua wanawake tunadharau sana
Mwanaume hata kama una kidogo,kwa ajili ya matumizi madogomadogo ila unajituma 6Γ6,Wewe nakung'ang'ania mpaka basi,hata kama tumepigika tajiri mmoja akaja kuomba gem nampa ili nipate hela za kutumia na mpenzi nimpendaye ila siwezi kumwambia hela nimetoa wapi ,naweza kumwambia nimekopa madam maisha yetu yasonge
Wewe mwanaume hebu jitume umfikishe kibo na mawenzi mpenziwe halafu mnyime hela uone kama huyo mwanamke atanuna au atakuacha,hakuachi ng'oo,hata kama amekufumania hawezi kukuacha lakini kama hufanyi kazi au unafanya blah blah basi jiandae kuachwa au kuwa ATM
Mwanaume tafuta pesa na piga kazi 6Γ6 uone,mwanamke atatulia kama maji ya mtungi atakuheshimu kama baba yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Kimjazacho mtu ndicho kimtokacho. Hakuna suala la kuchomekea , kwani limekuwa shati mpaka uchomekee?
πππ sina maana hiyo kbs mkuu.Najua few will understand what I meantMkuu nisiende kazini nisipate mda wa kupumzika,vp ww huendi job pia?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulichoandika hapo inaonesha bado hujaridhika na uliyenaye...kama umeridhika na huyo anayekufikisha huko kibo na mawenzi hutakiwi kubabaishwa na mwanaume mwingine sababu ya pesa
Kama pesa kwanini msitafute kihalali wewe na huyo bwana ako?
Njoo kwangu ninavyo vyoteKwa sasa wanaume wanaamini kuwa mapenzi ni pesa ,yaani ili apendwe na mpenzi wake lazima awe na hela za kumpa kitu ambacho si Kweli
Ukweli ni huu,sisi wanawake tunaridhika na mwanaume aliye vizuri kitandani,anayenifikisha kibo na mawenzi,huyo hakika ni moyo wangu,na haiwezi ikapita SAA 1 sijakuuliza uko wapi,au kukuulizia kitu chochote na kama hana hela namwelewa sana,na naona kawaida tofauti na yule ambaye kitandani hayupo vizuri halafu nikuombe hela ,huna ntanuna na naweza kukuona kama takataka Fulani na unavyojua wanawake tunadharau sana
Mwanaume hata kama una kidogo,kwa ajili ya matumizi madogomadogo ila unajituma 6Γ6,Wewe nakung'ang'ania mpaka basi,hata kama tumepigika tajiri mmoja akaja kuomba gem nampa ili nipate hela za kutumia na mpenzi nimpendaye ila siwezi kumwambia hela nimetoa wapi ,naweza kumwambia nimekopa madam maisha yetu yasonge
Wewe mwanaume hebu jitume umfikishe kibo na mawenzi mpenziwe halafu mnyime hela uone kama huyo mwanamke atanuna au atakuacha,hakuachi ng'oo,hata kama amekufumania hawezi kukuacha lakini kama hufanyi kazi au unafanya blah blah basi jiandae kuachwa au kuwa ATM
Mwanaume tafuta pesa na piga kazi 6Γ6 uone,mwanamke atatulia kama maji ya mtungi atakuheshimu kama baba yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Drop it, lady!!!Kwa maana ipi??
[emoji23][emoji23][emoji23] sina maana hiyo kbs mkuu.Najua few will understand what I meant
asntMimi nimekuelewa vilivyo, nakukabidhi rasmi muda wangu naomba nipe wako pia Mamii...