D.D.D.D.D Mi sijasemea hayoKazi nzuri kunako 6 kwa 5 aise inategemeana na mwanamke yukoje.
Ukiwa na mwanamke yuko bomba aise mambo huja automatically.
Wanaume tujitahidi kuoa wanawake wazuri na wanao vutia
[emoji375][emoji375]
Mwanaume hata kama una kidogo,kwa ajili ya matumizi madogomadogo ila unajituma 6×6,Wewe nakung'ang'ania mpaka basi,hata kama tumepigika tajiri mmoja akaja kuomba gem nampa ili nipate hela za kutumia na mpenzi nimpendaye ila siwezi kumwambia hela nimetoa wapi ,naweza kumwambia nimekopa madam maisha yetu yasonge
Sent using Jamii Forums mobile app
Ok unaamin katika usaliti mana umejinadi upo tyr kumsaliti mmeo ili upate pesa.
hata kama tumepigika tajiri mmoja akaja kuomba gem nampa ili nipate hela za kutumia na mpenzi nimpendaye ila siwezi kumwambia hela nimetoa wapi ,naweza kumwambia nimekopa madam maisha yetu yasonge
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana siamini kwenye usaliti,hiyo nimechomekea tuOk unaamin katika usaliti mana umejinadi upo tyr kumsaliti mmeo ili upate pesa.
Huoni pesa ni nguzo kuu ya penzi
[emoji375][emoji375]
Umeolewa?
Kama imeshindikana kabisa kupata hela ya kula ndo nafikia hicho kiwango ila sijamaanisha namuacha na hata hivyo nitakuwa nafanya moyo unauma,sio kwa kupendaUlichoandika hapo inaonesha bado hujaridhika na uliyenaye...kama umeridhika na huyo anayekufikisha huko kibo na mawenzi hutakiwi kubabaishwa na mwanaume mwingine sababu ya pesa
Kama pesa kwanini msitafute kihalali wewe na huyo bwana ako?
Hata yeye mwenyewe hajaelewa alichokiandika.Ulichoandika hapo inaonesha bado hujaridhika na uliyenaye...kama umeridhika na huyo anayekufikisha huko kibo na mawenzi hutakiwi kubabaishwa na mwanaume mwingine sababu ya pesa
Kama pesa kwanini msitafute kihalali wewe na huyo bwana ako?
Kama imeshindikana kabisa kupata hela ya kula ndo nafikia hicho kiwango ila sijamaanisha namuacha na hata hivyo nitakuwa nafanya moyo unauma,sio kwa kupenda
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa sasa wanaume wanaamini kuwa mapenzi ni pesa ,yaani ili apendwe na mpenzi wake lazima awe na hela za kumpa kitu ambacho si Kweli
Ukweli ni huu,sisi wanawake tunaridhika na mwanaume aliye vizuri kitandani,anayenifikisha kibo na mawenzi,huyo hakika ni moyo wangu,na haiwezi ikapita SAA 1 sijakuuliza uko wapi,au kukuulizia kitu chochote na kama hana hela namwelewa sana,na naona kawaida tofauti na yule ambaye kitandani hayupo vizuri halafu nikuombe hela ,huna ntanuna na naweza kukuona kama takataka Fulani na unavyojua wanawake tunadharau sana
Mwanaume hata kama una kidogo,kwa ajili ya matumizi madogomadogo ila unajituma 6×6,Wewe nakung'ang'ania mpaka basi,hata kama tumepigika tajiri mmoja akaja kuomba gem nampa ili nipate hela za kutumia na mpenzi nimpendaye ila siwezi kumwambia hela nimetoa wapi ,naweza kumwambia nimekopa madam maisha yetu yasonge
Wewe mwanaume hebu jitume umfikishe kibo na mawenzi mpenziwe halafu mnyime hela uone kama huyo mwanamke atanuna au atakuacha,hakuachi ng'oo,hata kama amekufumania hawezi kukuacha lakini kama hufanyi kazi au unafanya blah blah basi jiandae kuachwa au kuwa ATM
Mwanaume tafuta pesa na piga kazi 6×6 uone,mwanamke atatulia kama maji ya mtungi atakuheshimu kama baba yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kitu natak nikuambie
Wewe unafikiria kama MKE, huyo uliemjibu anawaza kujiuza ili apate hela za kutumia na bwanake.Ulichoandika hapo inaonesha bado hujaridhika na uliyenaye...kama umeridhika na huyo anayekufikisha huko kibo na mawenzi hutakiwi kubabaishwa na mwanaume mwingine sababu ya pesa
Kama pesa kwanini msitafute kihalali wewe na huyo bwana ako?