Wanaume mnaelekea wapi na ndoa zenu?

Huko face msenge Harris Kapiga anaua bendi hizo post zake za meseji za wake za watu ni kama ukanda wa Gaza anitafakari sana
 
Sasa dada, kidude umekitombeshaa wewe enzi zako.
Umekumbatia mishumaa ya kila aina, halafu unataka Mimi niliyekukuta ukubwani ndio NIKURIDHISHE..!!!

Nitawezana na competition ya mishumaa yote uliyokumbatia.

#YNWA
mi bado bikira πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
2. unakuta jitu halina nguvu za kiume, trako 3 kaisha afu ndo yuko busy hukonje kuonesha disability yake,

Kitu hukijui huyo mmeo tako tattu kamwaga akipata dem mpya anapiga kazi fresh ila akimzoea hali inarud vile vile so usijidanganye anavyofanya ndani ndo anafanya nje
 
Kitu hukijui huyo mmeo tako tattu kamwaga akipata dem mpya anapiga kazi fresh ila akimzoea hali inarud vile vile so usijidanganye anavyofanya ndani ndo anafanya nje
mume gani tena
 
Wanawake inabidi watofautishe kukosa nguvu za kiume na mwanaume kutokuwa na hamu na wewe...usivitafsiri kama ni kitu kimoja...ila katika maisha yangu nilishaacha kuamini mwanamke anayelalamika sana na akilia ndio kabisa naona yeye ndio tatizo.Huwa siwaamini hadi nisikie upande wa pili...Hivi huyo mume mbaya hana Mazuri au mazuri yamemezwa na mabaya kwanini mazuri yasimeze mabaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…