Bado niko 20's my dear... lakini kwa ambavyo watu wanazungumzia maisha ya ndoa sikuizi napata wasiwasi...maana watu wanashuhudia jinsi wenza wao wanavyobadilika napata wasiwasi na huyu nliyenaye asije akanibadilikia na mimi😌😌Unaogopa nini jamani[emoji26][emoji26]
Mamy usije ukawa na 40
🤣🤣🤣🤣🤣Kwani watu wanachepuka mkuu?🤣
Ooh just relax dear until 30's nahisi ndo umri better wa mwanamke kuingia kwa Ndoa maana hakuna rangi utakuwa haujaiona hapa katikati..Bado niko 20's my dear... lakini kwa ambavyo watu wanazungumzia maisha ya ndoa sikuizi napata wasiwasi...maana watu wanashuhudia jinsi wenza wao wanavyobadilika napata wasiwasi na huyu nliyenaye asije akanibadilikia na mimi[emoji18][emoji18]
Ushauri mzuri... Noted✍✍Ooh just relax dear until 30's nahisi ndo umri better wa mwanamke kuingia kwa Ndoa maana hakuna rangi utakuwa haujaiona hapa katikati..
Kama ww ni ke basi unaweza kuendelea na mada yako, nilidhani ni me.Nani kakwambia Mimi mwanaume?
Una uthibitisho?
Kama hawana nguvu za kiume sasa wanapotoka nje ya ndoa wanatumia nguvu gn?Wanaume wengi hawana nguvu za kiume ila ni visirani na wanaongoza kutoka nje ya Ndoa.
Binafsi mengine Sina ila nitapunguza matumizi ya simu.Habari,
Mimi kidogo ni mfuatiliaji wa Facebook. Kuna kinachoendelea kwenye page ya jamaa mmoja anayejiita Dr. Harris Kapiga akitoa yake ya moyoni.
Ameweka namba na wanawake waeleze yaliyo moyoni mwao katika Ndoa. Wengi wao wasichana wenzangu wamekuja na madukuduku yafuatayo;
1. Usaliti umekuwa mkubwa sana.
2. Wanaume wengi hawana nguvu za kiume ila ni visirani na wanaongoza kutoka nje ya Ndoa.
3. Matumizi yaliyokithiri ya simu ya mkononi.
4. Uchafu kwa wanaume.
5. Kuomba penzi nyuma ya maumbile.
Jamani mapenzi nini kinaendelea katika Ndoa zetu wanaume, mje mseme mnakoelekea.
😳Wee,Usiniambie?Ila kuomba nyuma now days hata wadada wenyewe wanapenda na wanataka
Hao wanawake wote ni vibaka waliotafuta vichaka vya maisha wakavibatiza jina NDOAHabari,
Mimi kidogo ni mfuatiliaji wa Facebook. Kuna kinachoendelea kwenye page ya jamaa mmoja anayejiita Dr. Harris Kapiga akitoa yake ya moyoni.
Ameweka namba na wanawake waeleze yaliyo moyoni mwao katika Ndoa. Wengi wao wasichana wenzangu wamekuja na madukuduku yafuatayo;
1. Usaliti umekuwa mkubwa sana.
2. Wanaume wengi hawana nguvu za kiume ila ni visirani na wanaongoza kutoka nje ya Ndoa.
3. Matumizi yaliyokithiri ya simu ya mkononi.
4. Uchafu kwa wanaume.
5. Kuomba penzi nyuma ya maumbile.
Jamani mapenzi nini kinaendelea katika Ndoa zetu wanaume, mje mseme mnakoelekea.
2. unakuta jitu halina nguvu za kiume, trako 3 kaisha afu ndo yuko busy hukonje kuonesha disability yake,
Miaka 30 si ushazeeka, KWANI KUOLEWA LAZIMA?Ushauri mzuri... Noted✍✍
1. Usaliti ni ngumu kukwepa wanaume tunatamani mno na vishawishi kibao na kujizuia kwenye Ile kitu inakuwa ngumu maana akili zinaendaga wapi sijui, naweza kusema na kujiendekeza pia. Hapa mtusamehe tu (msilipize lakini tukiwashika kitaumana)Habari,