Wanaume mnaelekea wapi na ndoa zenu?



Tafuta wahuni wenzako mjadili hizi tabia za wanaume za kihuni, sisi wake zetu hata ku comment ujinga facebook hawafanyi hivyo.

Wewe unafikiri kuna mwanamke timamu aliyeolewa anayeweza thubutu andika hayo malalamiko facebook?

Hao ni loosers, single Mama, na walioharibu maisha, sasa wewe wachukulie serious utaona jinsi gani mwisho wako utakuwa mgumu, achana na wanawakr wa vijiweni.
 
Na ww unaamini hayo maneno?

Alafu mwanaume hutakiwi kuleta mambo kama hayo humu unless na ww sio riziki.
 
Kwa hiyo lawama sio kwa wanaume tu, hata wadada wanataka kuharibuwa.
eeh kwani kuna anaelazimishwa? na ikitokea umebakwa siku ya kwanza ya pili na ya tatu si unakua umefurahia
 
Yaaani unajikuta unagoma
Mimi ndo naogopa kabisa yani...bora tu nikae kwanza maana, ukienda Insta wanasema ndoa ngumu, ukija jf ndo kila siku vilio, Facebook nako ndo kama hivyo,, mtaani ndo kabisa,,, yaaaani🤒🤦‍♀️🤦‍♀️
 
Na ww unaamini hayo maneno?

Alafu mwanaume hutakiwi kuleta mambo kama hayo humu unless na ww sio riziki.
Nani kakwambia Mimi mwanaume?

Una uthibitisho?
 
Mimi ndo naogopa kabisa yani...bora tu nikae kwanza maana, ukienda Insta wanasema ndoa ngumu, ukija jf ndo kila siku vilio, Facebook nako ndo kama hivyo,, mtaani ndo kabisa,,, yaaaani[emoji855][emoji2356][emoji2356]
Uolewe lakini shost umri unaenda usije ukakosa kizazi kikaharibika.[emoji6][emoji6][emoji6]
 
Muhuni mama yako usinozee babu unijui sikujui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…