upuuzi huu sasa miaka mitano unavumilia woooi
Acha kisirani wew dada,kam hujaolewa njoo nikuoe utulieupuuzi huu sasa miaka mitano unavumilia woooi
Tunatest mitambo huko nje, tujue tatizo ni nini.2. unakuta jitu halina nguvu za kiume, trako 3 kaisha afu ndo yuko busy hukonje kuonesha disability yake,
ila bana pia kuna wanawake wana tupu zinatoa harufu kali aisee, ikikupiga puani inaingia hadi utosini,Habari,
Mimi kidogo ni mfuatiliaji wa Facebook. Kuna kinachoendelea kwenye page ya jamaa mmoja anayejiita Dr. Harris kapiga akitoa yake ya moyoni.
Ameweka namba na wanawake waeleze yaliyo moyoni mwao katika Ndoa. Wengi wao wasichana wenzangu wamekuja na madukuduku yafuatayo;
1. Usaliti umekuwa mkubwa sana.
2. Wanaume wengi hawana nguvu za kiume ila ni visirani na wanaongoza kutoka nje ya Ndoa.
3. Matumizi yaliyokithiri ya simu ya mkononi.
4. Uchafu kwa wanaume.
5. Kuomba penzi nyuma ya maumbile.
Jamani mapenzi nini kinaendelea katika Ndoa zetu wanaume, mje mseme mnakoelekea.
Hajasema kama anatafuta wa kumuoa we soma comments tu.Acha kisirani wew dada,kam hujaolewa njoo nikuoe utulie
3. Matumizi yaliyokithiri ya simu ya mkononi.
5. Kuomba penzi nyuma ya maumbile.
Hizi mambo mbili hizi zinatumaliza sana. Sijui kwa nini watu wanachapana kinyume namna hii.
Nia yako tukatae ndoa sio [emoji855][emoji855]