Wanaume mliohamishiwa Dodoma mmetuachia wake zenu makazini wanatusumbua sana

Nakuamini bro,hapa kwenu lunch hr zimekua nyingi sijawahi ona hakuna asiye toka,nawanaobaki pia siwaelewi trip za chooni nyingi mh!
 
Naweza kuamini usemalo.

Namkumbuka jamaa mmoja na mkewe tuliajiriwa ofisi moja na mimi nilikuwa namzimia sana huyo mama lakini haniwashii taa ya kijani nifunguke lakini baada ya uhamisho wa mumewe kwenda mkoani haikuchukua muda mama aliingia mazima na nikakamua kinoma.

Aisee hii dhambi naijutia.
....Siyo kujutia tuu tayari umeongeza adhabu nyingine kwa mola wako siku ya malipo.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Wewe ndo utakuwa unawataka taka..unatafuta Mass support kwa unachoenda kutimiza..sisi tunasubir report..picture na video muhimu sana. Ila jua unachezea shilingi chooni..Tena choo cha shimo...
 
Habari hizi ingekuwa zamani zingenichanganya hadi kushindwa kufanya kazi,ila nimeshagundua hakuna sababu ya kuumiza kichwa kabisa juu ya mwanamke maana uwepo usiwepo akiamua kutengeneza sababu ya kukamuliwa atakamuliwa tu tena kihuni!Kwa hiyo mwanaume tafuta hela tu ya kutunza familia na kuleta maendeleo na si kuwaza mke uliyemwacha Dar.
 
Jovita, hivi unawaamini hawa hadi uanze kuutamani uanaume mateso?
Wala mm sijawaamini ila mm Nina sababu ya kusema hivyo....na wala si kwenye mwswala ya kugegedana waaalaa..

Mi Nina mawazo yangu tu....
 
Mleta uzi sijui kama alifanya uchambuzi yakinifu. Hivi Dar na Dodoma ni masaa mangapi mtu kusafiri kumwona mwenzi wake? Mbona wenye wenza kila siku za wikendi wanatembeleana tu? Mtu mwenye tabia za hivyo hata muwe mnaishi naye masaa 24 akitaka kufanya uzinzi huwezi kumzuia atafanya tu. Mleta uzi ujue kuwa tendo la ndoa linaweza kufanyika mara moja au mbili kwa mwezi au kutofanyika na kutokuwepo madhara ya kimwili. Na wenza wanaweza kutembeleana tu bila sababu kutokana na umbali Dar to Dom kuwa mfupi na usafiri wa masaa yote. Nina jamaa zangu wana rotate kwa mtindo huu kutembeleana. Kwa hiyo asikatishe tamaa watumishi kuhamia Dodoma. Wewe ni kati ya wale ambao wameathirika serikali kuhamishia shughuli zake huko. Hivyo vibanda/vyumba fugia kuku na kitimoto uongeze kipato badala ya kuleta uzi wa kukatisha tamaa. Watumishi fanyeni kazi pasipo kusikiliza mawazo ya huyu na wenzake wa sampuli hii.Au inawezekana kuna ndugu yako ameenda Dodoma kutafuta fursa za maisha na wewe kutofahamu lolote ukajua amehamishiwa Dodoma kumbe mchoma chips ukadhani ni mtumishi ukaibuka na uzi wako kwa ku-generalize?

dah! sikujua kwamba "genye" inasubiri wikiendi tu
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Kama waziri kasema kwamba atakabiliana nazo nahisi hata hizo zimo na sijui watakabiliana nazo kivipi!
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Naweza kuamini usemalo.

Namkumbuka jamaa mmoja na mkewe tuliajiriwa ofisi moja na mimi nilikuwa namzimia sana huyo mama lakini haniwashii taa ya kijani nifunguke lakini baada ya uhamisho wa mumewe kwenda mkoani haikuchukua muda mama aliingia mazima na nikakamua kinoma.

Aisee hii dhambi naijutia.
Wewe ni mzinzi tu na bora ujute tu!
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Wazinzi na waasherati utawajua tu!

Gafla mwanamke anatuma picha ya nguo ya ndani kwenye whatsapp.

Ukituma picha ya mshangao anakujibu kwa picha ya aibu ameziba macho kwa mikono, sasa hapo nini kinaendelea?

Unamalizia kwa kumwambia uko wapi nije nikuvishe hiyo nguo.

Anakujibu kwa kukupa location ya hotel. Basi mzee unaenda kula mzigo.

Rahisi kabisa hivyo tu eti
 
Back
Top Bottom