Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 4,175
- 12,993
HahahahaWewe ni mke mwenza wake? Unishi nao?
🤣Ampige hajipendiHuyu bwana anasherekea miaka 20 ya ndoa yake.
Hajawahi mpandishia sauti kumfokea mkewe,hajawahi mpiga na hawajawahi kugombana.
Nimemaliza.
View attachment 2360750View attachment 2360751
Self defence Ni muhimu kabla ya kuolewa....nna mpango wa kunyanyua vyuma
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1787]Ampige hajipendi
Hata ukimwekea mwanaume limbwata awe anafuata kila maelekezo unayoyatoa kama mtoto wako mwisho wa SIKU roho itakusuta.Utajiona unafanya upumbavu tu.Mwanaume akiishi miaka 20 bila hata kukupandishia sauti hapo Kuna mume au mume mfu .Utaanza kujiuliza HUYU mwanaume wa aina gani.Unarudi umelewa,watoto huwaangalii,pesa UNATUMIA ovyo,humuheshimu ,umechelewa kupika ,Una michepuko, ni mchafuu .Alafu Huyo mwanaume hata asikukemee au kukufokea miaka 20 [emoji1787][emoji1787][emoji1787] labda umeolewa na ndondocha au zezeta.Huyu bwana anasherekea miaka 20 ya ndoa yake.
Hajawahi mpandishia sauti kumfokea mkewe,hajawahi mpiga na hawajawahi kugombana.
Nimemaliza.
View attachment 2360750View attachment 2360751
Kibongo bongo ukisha piga gym watakuwa wanakupita kama hawakuoni be carefully [emoji1][emoji1]Self defence Ni muhimu kabla ya kuolewa....nna mpango wa kunyanyua vyuma
Udhibitisho wa hayo uliyoyaandika tunaombaaHuyu bwana anasherekea miaka 20 ya ndoa yake.
Hajawahi mpandishia sauti kumfokea mkewe,hajawahi mpiga na hawajawahi kugombana.
Nimemaliza.
View attachment 2360750View attachment 2360751
So mnataka walaini laini?Kibongo bongo ukisha piga gym watakuwa wanakupita kama hawakuoni be carefully [emoji1][emoji1]
Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
We vipi?Udhibitisho wa hayo uliyoyaandika tunaombaa
Ndio akikomaa si mnafanana [emoji23][emoji23][emoji23]So mnataka walaini laini?
alaf raha ya mwanamke awe mlaini laini bwanaNdio akikomaa si mnafanana [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
Naunga hojaalaf raha ya mwanamke awe mlaini laini bwana
Ni yupi sasa kati ya hawa wawili?Huyu bwana anasherekea miaka 20 ya ndoa yake.
Hajawahi mpandishia sauti kumfokea mkewe,hajawahi mpiga na hawajawahi kugombana.
Nimemaliza.
View attachment 2360750View attachment 2360751
JiongezeeNi yupi sasa kati ya hawa wawili?