Kuna wanaume huwa wanakera sana,Unakuta ni mshikaji wako afu anajipendekeza kwa demu mpaka wanakuwa marafiki. Kibaya anakuja kukuambia-mwanangu nimepiga pale.Ukichunguza kumbe ni kamba tuu na anazibia wengine.Tunawaita majina kama nyuki wa mashineni au nyoka wa kwenye kahawa