Leo ni siku ya wauguzi duniani, kwenye status zangu whatsapp naona wauguzi wa kike wakifurahi, na wakipongezwa na madaktari na watu wa jinsia zote. Ila nime notice mbona wauguzi wakiume hawafurahii siku yao? Au ndio madokta?

Tupo wengi tu, na kwa taarifa kazi ya unesi ilikuwa ni kazi ya wanaume. Mambo yalibadilika wakati wa vita. lama siyo civil war ya Marekani basi ya kwanza ya dunia. Baada ya wanaume wengi kwenda vitani ikabidi wanawake wapige kazi ya unesi, ndiyo mwanzo wakuingi hiyo kazi wanawake.
Leo ni siku ya wauguzi duniani, kwenye status zangu whatsapp naona wauguzi wa kike wakifurahi, na wakipongezwa na madaktari na watu wa jinsia zote. Ila nime notice mbona wauguzi wakiume hawafurahii siku yao? Au ndio madokta?
Jina nurse kwa jamii yetu limekaa kike, hivyo ni ngumu kwa bongo kukuta mwanaume akijiita nurse, ingawa wapo, na mimi ni mmoja wa watu niliowahi kupata taaluma hiyo, ila sijawahi penda hilo Jina
Nilivyokua mdogo nikienda hospital kila mfanyakazi wa kike nilijua ni nesi na mwanaume ni dokta
Kilichoniaminisha zaidi ni ile nyimbo ya TMK wanaume kuna koras walisema "sisi madokta wao manesi"
Basi nikaendelea kuamini nesi ni mwanamke na dokta ni mwanaume kumbe hali haipo hivyo.
Mungu awabariki manesi na madokta wote wanafanya kazi nzuri.