Wanaume kwanini hamjui kutupapasa bali mnatufinyafinya wakat wa maandalizi ya sex na mikono yenu migumu

Dah mwaka 2017 una maajabu makubwa sana, bora uishe tu yani duh, asee.

Kwahiyo hasira za kuvutwa vutwa huko mpaka ukataka kung'olewa kiharage na huyo gaidi unakuja kuzimalizia kwetu kweli?!!

Pole sana nadhani umemkwapua pesa nyingi sana ndo mana na yeye kaamua kukukomesha
Hapo ulikuwa unalipishwa hela ulizochukua mamaaa.
 
Haya sasaa. Wa hivyo dawa yake sio kulalamika huku, zaidi ya kujaribu kumwambia tena kwa busara japokuwa unaweza leta maswali mia kodogo lakini huenda akabadilika na sio kuvumilia. Ukisema kuvumilia jua unajinyanyasa mwenyewe hapo.

Sababu huku utaambulia Povu tu wakati sie wengine hatuna nguo chafu. Hahahahaaaa.

Ila Demiss hii funga mwaka aisee.
Hekima ndo hiyo; you're a real genius.
 
Back
Top Bottom