Mayunga234
JF-Expert Member
- Feb 17, 2017
- 1,725
- 1,990
- Thread starter
-
- #41
Ww angalia msambwanda ndio kila kitu achana na mengine
Laana na baraka za mtu zimo kwenye ulimi wake.Huwezi ukawa na ulimi mchafu ukawa na baraka
Kuna uhusiano mkubwa sana kati ya haso zako na ulimwengu wa roho.Mi naona ni imani tu, hakuna uhusiano wowote kati ya mwanamke ulie nae na mafanikio. Unaweza usiwe na mwanamke kabisa na bado mambo yakiamua kuyumba yanayumba tu.
Unakula msambwanda watoto wataenda shule na msambwanda utanunua nguo kwa msambwanda utajenga kwa msambwanda nyie ndo mnaokuja kuzeeka hamna hata banda la kuku
Kipo kwa mfano mdogo Kristian hufunga ndoa j.mosi saa Tisa alasiri Kama Rc kkkt n.k, Islam hawana muda halisi hi huwa wengi huchungulia nyota kwa wajuzi wa nyota ikiwa mwanamke nyota yake inanguvu kushinda ya mwanamme hugeuzwa ndio mana wakati mwingine ndoa hufungwa saa saba za usiku kutokana na hesabu za mnajim.KWA HIYO MKUU KUNA KIPIMO CHA NAMNA YA KUWATAMBUA WANAWAKE HAO??
Nilipotembea nae tu, nikafukuzwa kazi! Wiki moja baadae nikapata ajari ya gari. Wiki iliyofuata, mwenye nyumba akanifukuza baada ya kuchukiwa na wapangaji wenzangu. Kwa ufupi nilipoteza kabisa ramani ya maisha.Unaweza kuwa na mahusiano na mwanamke ghafla maisha yako yakabadilika kila unalofanya halifanyiki kila unachokigusa hakishikiki, hela haikai, hakuna cha maana chochote unachokifanya yaani day after day maisha yako yanazidi kudidimia na kukosa direction
Kuna wanawake ni gundu na mikosi kwenye maisha hata ukifanya kitu cha maendeleo huoni Matokeo yake
Wanaume kuweni makini sana na wanawake mnaowakaribisha kwenye maisha yenu anaweza kukuangusha kimaendeleo na pia anaweza kukuinua kimaendeleo
Kuna baadhi ya Wanawake ukiwa nao kwenye mahusiano mambo yako yana nyooka sana kila unachokifanya kinakuletea majibu positive yaani anakuwa source ya mafanikio kwenye maisha yako
Kuna watu walikuwa na maisha ya kawaida baada ya kuoa gafla maisha yake yakabadilika yaani ni neema juu ya neema Kila siku anazidi kuwa mtu mwenye maendeleo na mambo yake yanamnyookea hadi yeye mwenyewe anashangaa hii ni sababu ya mwanamke aliye nae
Vitabu vyote vitakatifu vinazungumzia kusafisha nyota kupata baraka kutafuta amani. Tafsiri ni (KUONDOA NUKSI)Nilipotembea nae tu, nikafukuzwa kazi! Wiki moja baadae nikapata ajari ya gari. Wiki iliyofuata, mwenye nyumba akanifukuza baada ya kuchukiwa na wapangaji wenzangu. Kwa ufupi nilipoteza kabisa ramani ya maisha.
Tulivyoachana, jamaa mwingine akabeba huo mzigo! Balaa mtindo mmoja hadi akaenda jela!
Leo miaka takribani 15 huyo mwanamke hana mume anazunnguka makanisa ya walokole bila mafanikio. Mikosi ipo sana upande wowote.
Wee kima, unanijua? Nyoko wee, ww unamtegemea mwanamke aje akuletee baraka au mali kwako? Ur such a shithole, baraka au mali zote ni mwanaume, maendeleo yote ni mwanaume, ukija oa mwanamke aje na msambwanda wake tu full stop..
Ww unajua mm namiliki nn? Swine.
True kuna Kazi nilikuwa nafanya nikamka asubui siku nzima ni Neema tu pesa tele sijui kwann sikumuoa ningekuwa bakhresa leo.
Kuna Watu Bado wanaamini huu utopolo? Kwa akili hizi wazidi kuongeza tozo.
Awe na chura tu akili tutatumia zangu.
Kipo kwa mfano mdogo Kristian hufunga ndoa j.mosi saa Tisa alasiri Kama Rc kkkt n.k, Islam hawana muda halisi hi huwa wengi huchungulia nyota kwa wajuzi wa nyota ikiwa mwanamke nyota yake inanguvu kushinda ya mwanamme hugeuzwa ndio mana wakati mwingine ndoa hufungwa saa saba za usiku kutokana na hesabu za mnajim.
Nilipotembea nae tu, nikafukuzwa kazi! Wiki moja baadae nikapata ajari ya gari. Wiki iliyofuata, mwenye nyumba akanifukuza baada ya kuchukiwa na wapangaji wenzangu. Kwa ufupi nilipoteza kabisa ramani ya maisha.
Tulivyoachana, jamaa mwingine akabeba huo mzigo! Balaa mtindo mmoja hadi akaenda jela!
Leo miaka takribani 15 huyo mwanamke hana mume anazunnguka makanisa ya walokole bila mafanikio. Mikosi ipo sana upande wowote.
Tamaa ya nn wakati ni ushuhudapunguza tamaa
Kweli tupu!Unaweza kuwa na mahusiano na mwanamke ghafla maisha yako yakabadilika kila unalofanya halifanyiki kila unachokigusa hakishikiki, hela haikai, hakuna cha maana chochote unachokifanya yaani day after day maisha yako yanazidi kudidimia na kukosa direction