Wanaume kunyimwa makalio ni laana ama bahati mbaya???

nhuuu!! hizi khabari zingine kweli, hvi?
anyway harafu ukiwa nayo uyapeleke wapi?
na ya nini wewe mwanamume?

unataka kuanzishia biashara gani, hili swali lilaaniwe, samani kama nimekukwaza,
 
KIJANA HEBU BADILI JINA LAKO NAONA WATU WAMEANZA KUKUNG'AMUA TARATIBU NA POST ZAKO MBOFU MBOFU USIJE POTEZA HESHIMA MTAANI ,:lie:

du nimeanza kuona kwa nini tunatumia Nickname ...
 
Mkuu sijajua kwanini umeuliza hivyo.ni kwamba wale ni mau ya dunia wasipo kuwa na maumbo ya kupendeza basi ungejinyonga kwani maisha yangekuwa magumu.wanaume wko hivyo kwa ajili ya ku-provide ulinzi kwa wanawake
 

aliyekwambia kuwa mwanaume hana makalio nani... kwani umesikia anakali mikono au kichwa..... jinsi swali lako ulivyouliza inaonekana una matatizo ya kiafya nakushauri uende hospiytal ukafanyiwe ...chekup... sikulaumu najumu maisha ndio yanaweza yakakufanya ukapoteza uwezo wako wa kufikiri... jaribu kula mlo kamili walau mara mbili tu kwa siku... lala mapema na pata mda wa kutosha w akupumzika... pia pendelea kutembelea sehem tofauti ili upanue mtazamo wako... usisahau na ibada inasaidia sana bro... nakuambia haya kwa ajili ya kuisaida familia yako na jamii inayokuzunguka maambukizi ya hayo matatizo yako yasienee...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…