Wanaume kukata mauno

Kuna siku nilifanya adventure ya kwenda taarab pale mango garden kinondoni, niliyoyakuta huko Mungu pekee ndie ajuaye....siku hizi vijana wengi wa kiume ni vijana suruali tuu

tena ndo habar ya mjini wanaona kuwa ni fashion
 

hata me wananiboa sana..unakuta dume linazungusha kiuno kama demu
 
kampa mamaaa kiunoooo...ha ha haa!..hivi unajua kama Diamond hawezi kuimba bila kukatika
 
wengine ni vyakula
a k a WADADA WA OBAMA.
 
Mauno ni fani yao.na wanapata hela.ila kuna tofauti kubwa mauno ya kitandan na kwenye show
 
nibakshie

Nimekubakishia njoo nikunyweshe BTW mwanaume kukata viuno mbele za watu ni kujidhalilisha maana wao wanaona kukata kiuno atawavutia wanawake, maana utawasikia wanawake yule 'mwanaume anajua kukata kiuno'. Ila wapo wapo wanaume wanaokata viuno hasa madensa wa bolingo maana ndio utamaduni wa bolingo hasa wakongo,lakini hawa wacheza viduku wanatafuta uspoon kwa wanawake hasa wale malaya
 

Hahaha Hahaha Hahaha Hahaha dah mkuu umenena
 
hivi kina h.baba,fally ipupa..bob Junior wapo humu:what:
 
Duuuh!
...nafikiri wakataji wamekusikia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…