Pritty wa joseph
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 2,379
- 2,051
Oyo Oyo Oyooooooo
kiukweli jamani hii tabia sio nzur yani mwanaume uliyekamilika unasimama mbele ya kadamnasi ya watu unakata mauno ??????? yani unazungusha nyonga hata Mimi niliopelekwa unyagoni sikufikii
badilikeni kukata mauno ni kazi ya wanawake nyie muwe mnashikilia tu nyonga zetu pindi tunapozungusha ringi lol mnaboa bhana
pretty wa joseph

nipo hapa kwa Joseph Wang
sawa mama nitajirekebisha
Hukusikia ule msemo wa kiuno msingi? Naona wanawekeza
Tutafutane
Ngoja ninywe chai kwanza
sitafutanagi na watoto wadogo
Oyo Oyo Oyooooooo
kiukweli jamani hii tabia sio nzur yani mwanaume uliyekamilika unasimama mbele ya kadamnasi ya watu unakata mauno ??????? yani unazungusha nyonga hata Mimi niliopelekwa unyagoni sikufikii
badilikeni kukata mauno ni kazi ya wanawake nyie muwe mnashikilia tu nyonga zetu pindi tunapozungusha ringi lol mnaboa bhana
pretty wa joseph
-Hao wako kwenye stage ya mwisho ya kuwa mashoga/------- na wanatafuta waoaji
-Mwanaume timilifu hafanyi huo ujinga hata akiwa mwenyewe gizani.
Oyo Oyo Oyooooooo
kiukweli jamani hii tabia sio nzur yani mwanaume uliyekamilika unasimama mbele ya kadamnasi ya watu unakata mauno ??????? yani unazungusha nyonga hata Mimi niliopelekwa unyagoni sikufikii
badilikeni kukata mauno ni kazi ya wanawake nyie muwe mnashikilia tu nyonga zetu pindi tunapozungusha ringi lol mnaboa bhana
pretty wa joseph
Kumbe ulishaenda unyagoni??Niwatafuta san wa dizaini yako.Em'njoo pm tafadhari
ooooooh kumbe wanafanya vile wakitegemea return
Sasa mtoto wa kiume return gani kama si kuolewa