sanalii JF-Expert Member Joined Oct 1, 2018 Posts 1,743 Reaction score 6,240 Feb 23, 2024 #1 siku zote mtu analala kwenye shuka chafu, siku akija mwanamke ndo anafua (wendawazimu). Anakula chakula cha ajabu, siku akikutaa na mwanamke ndo anatumia hala kula chakula kizuri (ujinga) anajua kabisa kua mwanamke fulani ni mke wa mtu halafu anatembea nae (roho mbaya) anaweza akaombwa hela na mwanaume mwenzake akasema hana lakini akiombwa na mwanamke akampa. Ni ufiki kusema wanawake ndio hawapendani.
siku zote mtu analala kwenye shuka chafu, siku akija mwanamke ndo anafua (wendawazimu). Anakula chakula cha ajabu, siku akikutaa na mwanamke ndo anatumia hala kula chakula kizuri (ujinga) anajua kabisa kua mwanamke fulani ni mke wa mtu halafu anatembea nae (roho mbaya) anaweza akaombwa hela na mwanaume mwenzake akasema hana lakini akiombwa na mwanamke akampa. Ni ufiki kusema wanawake ndio hawapendani.
Yuda Legacy JF-Expert Member Joined Jun 21, 2023 Posts 775 Reaction score 2,772 Feb 23, 2024 #2 KAMA YESU ANATUPENDA AFU WE USEME HATUPENDANI ACHA UONGO
adrenaline JF-Expert Member Joined Jun 17, 2015 Posts 4,606 Reaction score 7,809 Feb 23, 2024 #3 Nyakati hizo ndio huwa tunaishi maisha ya raha sana.