Wanaume hatujawahi kuacha kunyonya.

BabaMorgan

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
5,188
Reaction score
14,346
Kuacha kunyonya sio rahisi licha ya kuwekea pilipili kwenye titi
 
Hahahahahhahahaaaa
Ndo maana mnawaoneaga wivu hadi watoto wenu wachanga wanaponyonya matiti ya mama zao ambaoni wake zenu.

Umwnikumbusha kaka yangu mmoja alikuwa ananyonya kidole gumba wakati yuko mdogo, baba akawa anamchapa ila haachi,anaweka plasta lakini haachi akakipaka pilipili saa ya kulala ili kaka aache kunyonya kidole, ilisaidia ahahahahaa.

Napata picha mwanaume na ndevu zake ananyonya kidole gumba aahahahahahahaaaa.

Na mkiwa mnanyonya matiti mnakuwa mmelewa kweli kweli..... Aahahahahahaaaa
 
Sijui sehem gani bado ambayo sijanyonya
 
Ukiona hivyoo wewe uliruka some stages katika ukuaji wako!! 😂,BTW kama sahani ya chakula siwezi lamba ntaanzaje kunyonya unakokumaanisha??
 
Kunyonya kuna hisia zake Kiasali
 
Ni kweliii....

Hivi kuna tofauti gani kati ya kunyonya kwa hisia na kumung'unya ....

Nikimung'unya ubuyu huwa nakuwa na hisia sanaa....
Ubuyu uunyonyi bali unaumung'unya, Ziwa nabolo ndio vinanyonywa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…