Bengalisis
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 1,851
- 2,771
Ndoa yako ina umri gani? Maana usije ukawa ndo kwanza umeoa ukajifanya kuleta utaalamu wakati ndoa huijui! Ishi kwanza walau miaka mitano na kuendelea ndo uje na huo utaalam"Mwanaume kumbuka kuoa mwanamke unae mmudu, asiwe mwenye kipato sana na asiwe msomi Sana. Usipoteze mda.. Na siku zote mwanaume mwenye kujua thamani ya mkewe ni mwanaume anaependa kumuona mkewe akiwa na tabasamu furaha na amani muda wote, huyu ni mwanaume anaeilinda faraja ya mkewe muda wote, hachoshwi na changamoto za mkewe hata siku moja, ni mvumilivu na mwenye huruma kuu kwa mkewe na ndoa yake kiujumla."
Unadhani unaweza kummudu mwanamke wewe? Kamuulize Regina Mengi"Mwanaume kumbuka kuoa mwanamke unae mmudu, asiwe mwenye kipato sana na asiwe msomi Sana. Usipoteze mda.. Na siku zote mwanaume mwenye kujua thamani ya mkewe ni mwanaume anaependa kumuona mkewe akiwa na tabasamu furaha na amani muda wote, huyu ni mwanaume anaeilinda faraja ya mkewe muda wote, hachoshwi na changamoto za mkewe hata siku moja, ni mvumilivu na mwenye huruma kuu kwa mkewe na ndoa yake kiujumla."
ππwaoaji nahisi mmeelewa
Unadhani unaweza kummudu mwanamke wewe? Kamuulize Regina Mengi
"Mwanaume kumbuka kuoa mwanamke unae mmudu, asiwe mwenye kipato sana na asiwe msomi Sana. Usipoteze mda.. Na siku zote mwanaume mwenye kujua thamani ya mkewe ni mwanaume anaependa kumuona mkewe akiwa na tabasamu furaha na amani muda wote, huyu ni mwanaume anaeilinda faraja ya mkewe muda wote, hachoshwi na changamoto za mkewe hata siku moja, ni mvumilivu na mwenye huruma kuu kwa mkewe na ndoa yake kiujumla."
Acha dharau mkuuNdoa yako ina umri gani? Maana usije ukawa ndo kwanza umeoa ukajifanya kuleta utaalamu wakati ndoa huijui! Ishi kwanza walau miaka mitano na kuendelea ndo uje na huo utaalam
Wewe unataka kuolewa mkuu au una maanisha nnWale wanaotaka kuoa, nondo hizii.
Ubarikiwendugu hawa viumbe hawatabiriki. mwaka wa kwanza utamuona ni malaika, kaa naye miaka 3 atakuwa zaidi ya shetani.
walikuja duniani kimkakati, kamwe usitarajie mbinu ya ndoa fulani unaweza kui-adopt ikazaa matunda kwenye ndoa nyingine.
kukugeuza chambo pale anapoona fursa na mitego yake imenaswa ni jambo dogo sana kama kumeza funda la mate hivyo usijidanganye. hata wachungaji, mashemasi, maaskofu (walio na vibali vya kuoa) peleleza ndoa zao ni fukuto tupu.
kikubwa pambana uokoteze kile kinachopatikana ila usitarajie jipya kwa hao viumbe JAPO SI WOTE.
"1 Petro 3:7
[7]Kadhalika ninyi waume, kaeni na wake zenu kwa akili; na kumpa mke heshima, kama chombo kisicho na nguvu; na kama warithi pamoja wa neema ya uzima, kusudi kuomba kwenu kusizuiliwe.
AaaaaaaaahUnadhani unaweza kummudu mwanamke wewe? Kamuulize Regina Mengi
Eti eeeeehPale akili ndogo inapotaka kutoa darasa
Wamekusikia mkuu
"Mwanaume kumbuka kuoa mwanamke unae mmudu, asiwe mwenye kipato sana na asiwe msomi Sana. Usipoteze mda.. Na siku zote mwanaume mwenye kujua thamani ya mkewe ni mwanaume anaependa kumuona mkewe akiwa na tabasamu furaha na amani muda wote, huyu ni mwanaume anaeilinda faraja ya mkewe muda wote, hachoshwi na changamoto za mkewe hata siku moja, ni mvumilivu na mwenye huruma kuu kwa mkewe na ndoa yake kiujumla."
Mbona kama povu ππππAkina nani?Mjinga mwingine huyu kama mleta uzi.
Hao walengwa mkuuAkina nani?Mjinga mwingine huyu kama mleta uzi.